Kama hujaziwekea mpangokazi, zinapukutika kama moshi angani!Hizo pesa za mkopo hazina baraka kiujumla
Haitabaki M. 40 lakini haitafikia M.140 na ushee.Pamoja na kua benki ipo kutengeneza faida,baada ya miaka 20 thamani ya nyumba ya millioni 40,itabaki millioni hiyo hiyo 40?
Mhh Kwa miaka 20 kiwango mbona kidogo sana.Wasalamu wakuu.
Baada ya hawa jamaa wa benki kuja kutoa semina hapa lindoni kwetu wakanishawishi kweli kweli kupata mkopo wa Kujenga.
Sasa last week nikawaibukia ofisini kwao nikawaambia nataka 40,000,000 nirudishe kwa miaka 20 kama walivosema wao.
Leo nikapigiwa simu kuwa niende nikasaini tayari process zishafanyika. Nilipofika kusoma nikaona kama nimechoka naomba nichukue nikasome taratibu kisha nitarejesha.
Hesabu iko hivi.
Mkopo: 40,000,000.
Riba: 18% (annually)
Monthly payment: 617,325.00
Hapa ukipiga hesabu for 20 year nitalipa
617,325.00 * 12 * 20= 148,158,000/=
Yaani almost 4 times ya hela nilokopa.
Nimeamua kuchoma huu mkataba nimempigia afisa mikopo kuwa sitoweza kusaini aendelee na shughuli zake.
Hapa ndo naelewa wale wanaonunua tofali kila mwezi kuweka kwenye kiwanja.
Bank hamnipati tena.
Biashara ya kwenye makaratasi hii ila kwenye uhalisia haiwezekani kabisaMhh Kwa miaka 20 kiwango mbona kidogo sana.
Tuchukue update hizo milion 40 uwekeze mfano kwenye biashara ya utengenezaji wa unga wa sembe.
Kukodi jengo 300000*12'=3600000
Mashine ununuzi =8000000
Kuingiza umeme=2000000
Mifuko grade1 ya kuanzia(2000)=1000000
Mpaka hapo jumla=14600000
Unabaki na 25400000
Toa 25000000 kipind cha mavuno nunua Mahindra utapata kg 40000
TUJE KWENYE UZALISHAJI
Ukijiwekea target kila siku usage tani kumi Kwa wastan wa faida ya 300000 Kwa tani kumi. Hapa bila pumba.
Ukifanya Kwa siku 20 Kwa mwezi,
20*300000= utaingiza 6000000 Kwa mwezi.
Kwa mwaka 12*6000000=720000000
Kwa miaka 20*72000000=1.44bil
1.44bil-147mil=?
TUJE KWENYE DECISIONS
Kwa maono yangu tatizo sio benki Bali maono ya mtu na exposure.
Nipe Mimi hizo nikupe 200mil Kwa miaka miwili Ila au nipe machinery za that amount hiyo nichague eneo la kufanyiwa biashara nikupe mara kumi ya capital yako ndani ya mwaka.
Inawezekana kweli ikawa kwenye makaratasi kwako sababu ni ngumu kuamini kama Tomaso lakini Niko kwenye hii fani mudaBiashara ya kwenye makaratasi hii ila kwenye uhalisia haiwezekani kabisa
Sio kweli mkuu,Mimi kila mwaka nakopa bank na sijawahi kupata shida yeyoteSijawahi kuona alie kopa akafanikiwa siku ya mwisho lazima ile kwake tu,hakuna jambo zuri kama ukisave mwenyewe
Vijana wana vituko sana, yaani hawajui kuwa hawa wafanya biashara wakubwa waliofanikiwa wengi huwa na mikopo mikubwa mikubwa kwenye taasisi nyingi za kifedha?Sio kweli mkuu,Mimi kila mwaka nakopa bank na sijawahi kupata shida yeyote

Hapa nakataa mkuu, Mwanaume MadeniSijawahi kuona alie kopa akafanikiwa siku ya mwisho lazima ile kwake tu,hakuna jambo zuri kama ukisave mwenyewe
Sifa ya kwanza ili upate mkopo bank lazima uonnyehse kuwa huhitaji mkopo ,Tatizo la bank ziko tayari kukukopesha pesa wakati we we hauzihitaji na haziko tayari kukukopesha pesa wakati unazihitaji
Mkuu biashara haiko hivo usiweke hesabu as if utakuwa unakula wewe unga. Kuna kodi hapo kibao tu TRA, TFDA, Mazingira plus plus hali ya soko, kupanda kwa bei ya mahindi, wafanya kazi n. k hio Bil 1 ni hesabu za ndotoni.Mhh Kwa miaka 20 kiwango mbona kidogo sana.