sina uelewa wowote.Una uelewa kiasi gani kuhusu biashara?
Hizi fikra hazina tofauti na ule mpango wa kilimo cha matikiti cha kupata mil.20 ndani ya msimu mmoja. Ukitoa 2 ya mtaji unabaki na 18m faida 😁😁😁Mhh Kwa miaka 20 kiwango mbona kidogo sana.
Tuchukue update hizo milion 40 uwekeze mfano kwenye biashara ya utengenezaji wa unga wa sembe.
Kukodi jengo 300000*12'=3600000
Mashine ununuzi =8000000
Kuingiza umeme=2000000
Mifuko grade1 ya kuanzia(2000)=1000000
Mpaka hapo jumla=14600000
Unabaki na 25400000
Toa 25000000 kipind cha mavuno nunua Mahindra utapata kg 40000
TUJE KWENYE UZALISHAJI
Ukijiwekea target kila siku usage tani kumi Kwa wastan wa faida ya 300000 Kwa tani kumi. Hapa bila pumba.
Ukifanya Kwa siku 20 Kwa mwezi,
20*300000= utaingiza 6000000 Kwa mwezi.
Kwa mwaka 12*6000000=720000000
Kwa miaka 20*72000000=1.44bil
1.44bil-147mil=?
TUJE KWENYE DECISIONS
Kwa maono yangu tatizo sio benki Bali maono ya mtu na exposure.
Nipe Mimi hizo nikupe 200mil Kwa miaka miwili Ila au nipe machinery za that amount hiyo nichague eneo la kufanyiwa biashara nikupe mara kumi ya capital yako ndani ya mwaka.
Bila shaka mke anakusaidia kufanya marejesho benki, 😁😁😁 lazma anune tu, hela ya mwanamke haijawahi kumuacha kidume salama.Nilikopaga bank 10ml aisee mpaka Leo nataabika mbaya hata mapenzi yamepungua nyumbani na wife kuishi kwa 230000 ndani ya mwezi sio mchezo aisee
wasenge hao, ukipoteza kadi watakutesa vibaya na hela yako.Naomba kuuliza vip benki ya NMB ni nzuri kwa ajili ya kutunza hela na makato yake kwa mwezi ni sh ngapi?
Sio simple hivo unavyodhani.Mhh Kwa miaka 20 kiwango mbona kidogo sana.
Tuchukue update hizo milion 40 uwekeze mfano kwenye biashara ya utengenezaji wa unga wa sembe.
Kukodi jengo 300000*12'=3600000
Mashine ununuzi =8000000
Kuingiza umeme=2000000
Mifuko grade1 ya kuanzia(2000)=1000000
Mpaka hapo jumla=14600000
Unabaki na 25400000
Toa 25000000 kipind cha mavuno nunua Mahindra utapata kg 40000
TUJE KWENYE UZALISHAJI
Ukijiwekea target kila siku usage tani kumi Kwa wastan wa faida ya 300000 Kwa tani kumi. Hapa bila pumba.
Ukifanya Kwa siku 20 Kwa mwezi,
20*300000= utaingiza 6000000 Kwa mwezi.
Kwa mwaka 12*6000000=720000000
Kwa miaka 20*72000000=1.44bil
1.44bil-147mil=?
TUJE KWENYE DECISIONS
Kwa maono yangu tatizo sio benki Bali maono ya mtu na exposure.
Nipe Mimi hizo nikupe 200mil Kwa miaka miwili Ila au nipe machinery za that amount hiyo nichague eneo la kufanyiwa biashara nikupe mara kumi ya capital yako ndani ya mwaka.
Mwaka 2004 walimu wa shule ya msingi walikuwa wanalipwa 60000
Hili ndio tatizo jingine la private co....Matajiri kamwe hawataki kudhamini mtu Bank. Na bank wanahutaji kitu kama hiko...so watu wanabaki njia panda....Tatizo mwajiri wetu nae roho mbaya, hataki kitudhamini kwenye hizi Bank ili tukope yaani yeye naweza sema anapenda kuona tukiwa watumwa wake tu
Hivi hawa NSSF huwa hawatoi mikopo?
Bank wahuni sana, ukienda kwa shida ya mkopo wa kufungua kiwanda kupata inakuwa ngumu sana. Sema tupambane wadau, maisha ni magumu sanaMhh Kwa miaka 20 kiwango mbona kidogo sana.
Tuchukue update hizo milion 40 uwekeze mfano kwenye biashara ya utengenezaji wa unga wa sembe.
Kukodi jengo 300000*12'=3600000
Mashine ununuzi =8000000
Kuingiza umeme=2000000
Mifuko grade1 ya kuanzia(2000)=1000000
Mpaka hapo jumla=14600000
Unabaki na 25400000
Toa 25000000 kipind cha mavuno nunua Mahindra utapata kg 40000
TUJE KWENYE UZALISHAJI
Ukijiwekea target kila siku usage tani kumi Kwa wastan wa faida ya 300000 Kwa tani kumi. Hapa bila pumba.
Ukifanya Kwa siku 20 Kwa mwezi,
20*300000= utaingiza 6000000 Kwa mwezi.
Kwa mwaka 12*6000000=720000000
Kwa miaka 20*72000000=1.44bil
1.44bil-147mil=?
TUJE KWENYE DECISIONS
Kwa maono yangu tatizo sio benki Bali maono ya mtu na exposure.
Nipe Mimi hizo nikupe 200mil Kwa miaka miwili Ila au nipe machinery za that amount hiyo nichague eneo la kufanyiwa biashara nikupe mara kumi ya capital yako ndani ya mwaka.
Ndio shida ya kumix imani za kiislam na mambo ya riba.kuna mzee wangu mmoja nilimuambia "ukienda kukopa benki milioni 10 alafu ukarudisha milioni 15 ni sawa sawa na wewe unashida alafu ukaenda benki ukawapa hizo milioni 5 bureee kabisa bila wao kutumia nguvu yeyote ile
kwa sababu ile riba yao ni sawa sawa na wewe umewapa hiyo pesa bureee bila wao kutumia nguvu.
kama unaweza kulipa milioni 5 ndani ya mwaka si ungedunduliza na kutunza taratibu tu pesa yako mpaka ifike milipni 5 kwa mwaka then unakuwa umeepuka kuwapa benk pesa ya bure (riba)
Wasalamu wakuu.
Baada ya hawa jamaa wa benki kuja kutoa semina hapa lindoni kwetu wakanishawishi kweli kweli kupata mkopo wa Kujenga.
Sasa last week nikawaibukia ofisini kwao nikawaambia nataka 40,000,000 nirudishe kwa miaka 20 kama walivosema wao.
Leo nikapigiwa simu kuwa niende nikasaini tayari process zishafanyika. Nilipofika kusoma nikaona kama nimechoka naomba nichukue nikasome taratibu kisha nitarejesha.
Hesabu iko hivi.
Mkopo: 40,000,000.
Riba: 18% (annually)
Monthly payment: 617,325.00
Hapa ukipiga hesabu for 20 year nitalipa
617,325.00 * 12 * 20= 148,158,000/=
Yaani almost 4 times ya hela nilokopa.
Nimeamua kuchoma huu mkataba nimempigia afisa mikopo kuwa sitoweza kusaini aendelee na shughuli zake.
Hapa ndo naelewa wale wanaonunua tofali kila mwezi kuweka kwenye kiwanja.
Bank hamnipati tena.
Weka mathematics tuone tena kwa pesa iyo unaweka na ile aliyochukua mwanzoni. Tatizo hesabu ni changamoto kwa watu wengi sana.Ni kweli mikopo ya bank sio poa,
Ila naomba nikurekebishe hapo kwenye riba, hiyo riba ya 18% itakuwa calculated kwa deni litakalobaki kwa kila mwaka na sio kwa hell uliyokopa.
Mfano ukikopa 40m riba ya 1st year 7.2m
Then 2nd year deni Ni 32.6 riba 5.86m
So trend inaenda namna hiyo so sidhani Kama itafika 144m
Haiwezi fika 184 kwa sababu inakuwa calculated annually. MfanoWeka mathematics tuone tena kwa pesa iyo unaweka na ile aliyochukua mwanzoni. Tatizo hesabu ni changamoto kwa watu wengi sana.
Kama amechukua 40 Miliioni
40M*0.18*20= 144M
144M+40=184M
Mpaka anamaliza mkopo atakuwa katoa pesa iyo ndio gharama atakiwayo kutoa pesa
184M÷12÷20=Tshs 766,666.67 kwa iyo ndio ivyo sema kama ni mtu wa maesabu inakulipa, kama ni nyumba ya bihashara kama ni Hostel nzuri inakulipa tuuu, maanna mpaka miaka iyo 20 na pango ya nyumba itakuwa ishapanda kulingana na soko la nyumba
Inategemea na unajenga nn? Kama ni nyumba ya bihashara inalipa lakini ni kwa ajili ya kuishi hakuna faida yoyote apoMikopo ya benki ni kwa ajili ya biashara tu sio kujenga.
Wanachoboa hawa jamaa ukiandika proposal imesimama na imetulia na inaonyesha kuna mpunga wa utapiga hata baada ya miezi 6 hawakupi hela kabisa. Ila ukiwa tayari ushaanza kufanyia kazi wazo lako na wanaona kuna faida ndo wanaanza kuja eti mkopo wako ulioombaga tunaweza kukupa sa ivi. Shenzi kabisa. Hapo washajua kuna ka profit mgawane.Bank wahuni sana, ukienda kwa shida ya mkopo wa kufungua kiwanda kupata inakuwa ngumu sana. Sema tupambane wadau, maisha ni magumu sana
[emoji16][emoji16][emoji2][emoji2][emoji2]Kweli kabisa mkuuuuWanachoboa hawa jamaa ukiandika proposal imesimama na imetulia na inaonyesha kuna mpunga wa utapiga hata baada ya miezi 6 hawakupi hela kabisa. Ila ukiwa tayari ushaanza kufanyia kazi wazo lako na wanaona kuna faida ndo wanaanza kuja eti mkopo wako ulioombaga tunaweza kukupa sa ivi. Shenzi kabisa. Hapo washajua kuna ka profit mgawane.
Leo siku nzuri sana. Watu wanajadili maswala ya maendeleo tupu. Shule nzuri sana, umeimwaga apa. Tatizo wengi tunataka tuwekeze apo DSM kitu ambacho ni kigumu sanaaaa. Mfano mzuri DSM kuna soko kubwa la maziwa fresh ya ng'ombe lakini sehemu za kufugia hakuna, lakini ukijificha mkoa wa pwani ukafuga unapata zako faida vizuri sanaSijakataaa kuwa kuna utitiri wa mambo kama tra na tfda Ila muhimu ni lengo rasmi na uchaguz wa eneo sahihi la biashara. Kinachokufanya wengi wetu ni kufanya biashara Kwa kuigana na kukosa lengo rasmi.
Kama umenisoma vizuri kwenye bandiko langu no kuwa kila ntakapo nunua mzigo wa 5mil nipate wastan wa faida ya 300k Sawa na 6%, katikati Hali halisi inazid Sana no karibia 800k Kwa sasa.
Kwa kila mzigo 5mil utatoa pumba walau 3000kg au pungufu. Kiroba kimoja cha kilo 100 kinaenda 16000tsh. Kwa mzigo wa 5mil utapata pumba ya dhaman 480000. Kumbuka hapo huu sikuweza pumba.
Kwa ujumla faida IPO Sana Tu. Ni mzoefu wa hii KAZI mitaji ya kuanzia ndo sumbufu jaman
Ok sio kuwa motivation speaker hapana Ila nikazi ambayo nimekuwa naifanya Kwa muda mrefu Sana.
Kwanza niwekee wazi nimezungumza hivo kulingana na mazingira niliyotukana nafanyaje Mimi.
Kingine ieleweke sio kila biashara lazima jifanye dar au Tanzania ambako Ile ki Hali halisi kupiga hiyo pesa itakuwa ngumu.
Tukija kwenye selection ya eneo ambako ndo Kwanza ntaweza pendekeza Kwa MTU yoyote mwenyewe mtaji WA kiwango hicho ni either aende Mozambique na hasa mkoa kama nampula au kigoma Kwa upande wa Tanzania.
Tukija kwanini kigoma na wala sio dar.
Kigoma kama kigoma(kigoma mjini) kuna uhaba Sana wa chakula inafikia hatua unga WA sembe unafika mpaka 40k na Kwa wasiojua tu, hapa dar es salaam ni ngumu kupata unga WA sembe wa Azam tokana na ushindan mkubwa lakini Azam anauza kigoma sana. Na pia tukumbuke kilichozuiwa ni kusafirisha Mahind sio unga.
Kuna challenge umezungumzia ushuru wa mazao. Kama unafungua kiwanda na ukategemea kuwa utakuwa unafuata Mahind mwenyewe shamban jua ndo anguko lako kama huna mtaji. Siri iliyoko ni wewe kusubiria wanunue wa vijijin wa
Nadhani niliposimamia na wewe ulipoelekea ni tofaut. Mimi sijazungumzia kufuata mahindi vijijini bali nimezungumzia kuwekeza katikati uzalishaji. Katika uzalishaji wowote lazima utegemee kuwa na suppliers wa mzigo au Kwa lugha nyingine Mali ghafi. Kwa hapa bongo ni madalali. Na hawa kuna wengine wanaweza kukuletea mzigo mpaka Kwa mkopo na wewe ukapigana kuuuza bidhaa zako uliyotengeneza.
Kwa hiyo wewe utadili na tfda,tra, tanesco, na vipimo.
Tukija kwenye gharama za uendeshaji.
Karibia kila gharama itaendana na uzalishaji wako.
Mara nyingi huwa hatuajiri Kwa mishahara Bali tunategemea vibarua kuanzia kukoboa,kusaga na hata kuuanika na kuuza pumba( ndo maana ukienda nunua pumba au ukienda mbagala kununua mchele au unga unakutana na gharama ya ubebaji au kupimiwa.
Challenge kubwa ni ni soko ambalo wengi wetu tunafanya kimazoea ni wachache Sana ambao wamebadilika na wanaenda kisasa kuendana na soko lakini Siri kubwa chakula hatuaez Acha Kula. Tena mahindi yanapopotea kwetu n neema.
Gharama ambazo kwangu naona ndo ngumu ni zile za mwanzo kama ununuzi wa mashine, usajiri was kampuni, ujenzi uingizaji wa umeme.
Tukija upande wa pili kinachowashinda wengi ni pale mwanzon unataka uwaachie watu wakufanyie weww uletewe mauzo hutayapata sio dalala hiyo.
Naongelea kitu ambacho nalijua kama unapesa njoo nikupe location usajiri kila kitu Kwa jina lako nipe mwaka mmoja nikupe hela yako
Mkuu ndugu niliyenaye ni Dada yangu wa Damu kabisa na yeye yupo serikalini hivyo kuhusu swala la kuchukua mkopo bank haina tatizo ila haniamini nahisi kama ulivyosema nilishawahi kumwambia anichukulie 3mil nitairejesha ndani ya mwaka mmoja,Huo mkopo sio wa kwenda Bank. Ndugu zako 2 tu wanaweza kupa hio na ukarudisha bila riba. Shida wengi hamuaminiki. Nilimpa jamaa bodaboda aendeshe arudishe tu nusu ya hela (mdogo wangu) hadi leo sijamsikia nimeamua kukaa kimya.