Hapo mkuuu umedanganya, mimi nimesoma somo la Financial, hakuna kitu kama icho ulichozungumza apoHaiwezi fika 184 kwa sababu inakuwa calculated annually. Mfano
Mwaka wa kwanza utadaiwa 40+40*0.18
Next year kama balance imebaki 37 utachajiwa 37+37*0.18 na kuendelea in a downward trending manner kama mkopo wa board vile. Ndo mana inakuja kuwa kama 147m.
Badala ya kupingaHapo mkuuu umedanganya, mimi nimesoma somo la Financial, hakuna kitu kama icho ulichozungumza apo
Kweli mkuu,kuna bi mkubwa hua anatuletea maziwa ofisini kwetu kila ijumaa na minimum order anayouza ni 5 litres/head nae anafugia huko Pwani.Leo siku nzuri sana. Watu wanajadili maswala ya maendeleo tupu. Shule nzuri sana, umeimwaga apa. Tatizo wengi tunataka tuwekeze apo DSM kitu ambacho ni kigumu sanaaaa. Mfano mzuri DSM kuna soko kubwa la maziwa fresh ya ng'ombe lakini sehemu za kufugia hakuna, lakini ukijificha mkoa wa pwani ukafuga unapata zako faida vizuri sana
Unalipa vizuri tuu, mfano apa nina ndugu yangu yupo maeneno ya changanyikeni UDSM. Walijenga nyumba 2 viapartment fulani kwa gharama ya kama 36M. Mwaka 2012. Kawapangisha watu kwa gharama ya 500K@ Monthly na amesharudisha pesa yake na kodi imebadirika badirika sana tokea 2012. Sema ni bihashara za wenye fedha sio za ujasiriamali izi bihashara mkuuuHata biashara hapo huwezilipa huomkopo. Milioni 40hl hata nyumba ya kupangisha 350,000 kwa mwezi haimalizi.
😀😀as if anakula yeye😀Mkuu biashara haiko hivo usiweke hesabu as if utakuwa unakula wewe unga. Kuna kodi hapo kibao tu TRA, TFDA, Mazingira plus plus hali ya soko, kupanda kwa bei ya mahindi, wafanya kazi n. k hio Bil 1 ni hesabu za ndotoni.
Mbona nimeweka BossBadala ya kupinga
Ungetoa ufafanuzi jinsi inavyokua ungekua umefanya la maana zaidi
Wengi tungekuwa marehemu sasa hiviUkijenga kwa kudunduliza utakufa bure
Chukua 40m hiyo.kajenge banda.fasta
hiyo biashara mzuri sana, niliifanya kwa brother mwaka 2006 2007 ni mzuri mno. Changamoto kubwa niliyoiona, mashine zinasumbua sana. Mara chekeche limetoboka, Mara rola imezingua, Mara motor imeungua basi tafrani. kwa ufupi ukiwa na mashine hata kulala ulali ni mwendo wa kugongagonga tu usiku kucha. lkn mambo mengine ni ya kawaida na unaweza kupambana nayo. wastani wa Tani moja ni viroba 30 vya kg 25. Pumba gunia 4. Kwa kipindi kile tulivyokuwa tunafanya sisi Tani 11 tulikua tunapata viroba 310 vya kg 25 na tukitoa gharama za uwendeshaji tulikua tunapata laki tatu Kama faida. Na tulikua tuna saga kila baada ya Siku 3. Pia kuna changamoto ya Umeme, Umeme bei juu Sana, hiyo ndo ilikua inatuumiza kichwa hasa ukikutana na mahindi Kama ya tanga ambayo hayatoi wastani mzuri.Sijakataaa kuwa kuna utitiri wa mambo kama tra na tfda Ila muhimu ni lengo rasmi na uchaguz wa eneo sahihi la biashara. Kinachokufanya wengi wetu ni kufanya biashara Kwa kuigana na kukosa lengo rasmi.
Kama umenisoma vizuri kwenye bandiko langu no kuwa kila ntakapo nunua mzigo wa 5mil nipate wastan wa faida ya 300k Sawa na 6%, katikati Hali halisi inazid Sana no karibia 800k Kwa sasa.
Kwa kila mzigo 5mil utatoa pumba walau 3000kg au pungufu. Kiroba kimoja cha kilo 100 kinaenda 16000tsh. Kwa mzigo wa 5mil utapata pumba ya dhaman 480000. Kumbuka hapo huu sikuweza pumba.
Kwa ujumla faida IPO Sana Tu. Ni mzoefu wa hii KAZI mitaji ya kuanzia ndo sumbufu jaman
Ok sio kuwa motivation speaker hapana Ila nikazi ambayo nimekuwa naifanya Kwa muda mrefu Sana.
Kwanza niwekee wazi nimezungumza hivo kulingana na mazingira niliyotukana nafanyaje Mimi.
Kingine ieleweke sio kila biashara lazima jifanye dar au Tanzania ambako Ile ki Hali halisi kupiga hiyo pesa itakuwa ngumu.
Tukija kwenye selection ya eneo ambako ndo Kwanza ntaweza pendekeza Kwa MTU yoyote mwenyewe mtaji WA kiwango hicho ni either aende Mozambique na hasa mkoa kama nampula au kigoma Kwa upande wa Tanzania.
Tukija kwanini kigoma na wala sio dar.
Kigoma kama kigoma(kigoma mjini) kuna uhaba Sana wa chakula inafikia hatua unga WA sembe unafika mpaka 40k na Kwa wasiojua tu, hapa dar es salaam ni ngumu kupata unga WA sembe wa Azam tokana na ushindan mkubwa lakini Azam anauza kigoma sana. Na pia tukumbuke kilichozuiwa ni kusafirisha Mahind sio unga.
Kuna challenge umezungumzia ushuru wa mazao. Kama unafungua kiwanda na ukategemea kuwa utakuwa unafuata Mahind mwenyewe shamban jua ndo anguko lako kama huna mtaji. Siri iliyoko ni wewe kusubiria wanunue wa vijijin wa
Nadhani niliposimamia na wewe ulipoelekea ni tofaut. Mimi sijazungumzia kufuata mahindi vijijini bali nimezungumzia kuwekeza katikati uzalishaji. Katika uzalishaji wowote lazima utegemee kuwa na suppliers wa mzigo au Kwa lugha nyingine Mali ghafi. Kwa hapa bongo ni madalali. Na hawa kuna wengine wanaweza kukuletea mzigo mpaka Kwa mkopo na wewe ukapigana kuuuza bidhaa zako uliyotengeneza.
Kwa hiyo wewe utadili na tfda,tra, tanesco, na vipimo.
Tukija kwenye gharama za uendeshaji.
Karibia kila gharama itaendana na uzalishaji wako.
Mara nyingi huwa hatuajiri Kwa mishahara Bali tunategemea vibarua kuanzia kukoboa,kusaga na hata kuuanika na kuuza pumba( ndo maana ukienda nunua pumba au ukienda mbagala kununua mchele au unga unakutana na gharama ya ubebaji au kupimiwa.
Challenge kubwa ni ni soko ambalo wengi wetu tunafanya kimazoea ni wachache Sana ambao wamebadilika na wanaenda kisasa kuendana na soko lakini Siri kubwa chakula hatuaez Acha Kula. Tena mahindi yanapopotea kwetu n neema.
Gharama ambazo kwangu naona ndo ngumu ni zile za mwanzo kama ununuzi wa mashine, usajiri was kampuni, ujenzi uingizaji wa umeme.
Tukija upande wa pili kinachowashinda wengi ni pale mwanzon unataka uwaachie watu wakufanyie weww uletewe mauzo hutayapata sio dalala hiyo.
Naongelea kitu ambacho nalijua kama unapesa njoo nikupe location usajiri kila kitu Kwa jina lako nipe mwaka mmoja nikupe hela yako
Ulaya mortgage ndio mkombozi wao.Tatizo la Rate ya mkopo wanakuchaji kwa kuangalia mzunguko wa fedha na dhamana gani? Unayoweka mfano unaweka dhamana kumbi yako ya harusi na wanajua kila weekend, pana shughuli lazima mkopo upate kwa rate nnzuriii tuuu, ili sio Tanzania tuuu, hata ktk nchi za wazungu kupata dhamana ya mkopo ni ishu. Kama ulaya yenyewe kuwa na nyumba tuuuu ni ishu ile mmbaya
Lazima kuwe na sababu ya msingi( yakibiashara) ndio ukope.Hayo ni mawazo ya masikini!masikini kila tajiri ni mwizi,mchawi,mzumaji tafta benk zenye riba nafuu...ya kwanza kwa riba nafuu tz ni n.m.b matajiri wote duniani wanakopa benk yoyote ukikopa pesa ukakaa nayo mda mrefu riba ni kubwa sana kopa pesa kaa nayo mwaka mmoja au miwili tu ukizidi 3...lakini kama kweli unataka kutoboa kakope huo ndio ukweli.
Kweli sio simple kihivyo. Sitarajii ukianza hii biashara ukae ukitegemea wateja na masupplier wajilete lazima upambane, pia uchaguz wa eneo ni muhimu Sana. Chukulia mfano uende ukaanzishe eneo kama msasan au uende mbeya ukaanzishe kiwanda kama hicho utalia. Kitu chochote juhud binafs ndo zinaweza fanikisha pia uwe na malengo. Mfano kuna mwingine unakuta yeye ashajipangia kuwa Kwa kila tani kumi apate faida labda 800k haijalishi ameuuza ndani ya wiki au mwezi. Na kuna mwingine yeye amejipangia kila siku walau alale na laki baada ya mwez lazima kutakuwa na utofauti. Ishu kubwa ni malengo. Hola kubwa Tu hapa nitaonekana kama inspiration speaker maana kiukwel ndo tumezoea hivyo, hatuamini kuwa kuna maeneo ndan Tanzania's hii kuna watu wananunua vitu na kuuza na wakata faida ya mara mbili. Wengi wetu tumekaa dar na kuridhika.sio lazima dar au Tanzania jamani. Mfano kuna watu wananunua zile sabuni za kigoma Kwa 20000 kigoma wakaenda kuuza sehem Kwa 44000 jumla. Kuna watu wananunua katoni za Azam energy Kwa 10500 wakaenda uza Kwa 22000 hapo wanatoa usafiri Kwa katoni 5000.Sio simple hivo unavyodhani.
Kiukwel wengi wetu tumekariri biashara lazima iwe dar kitu ambacho sio. Unakuta MTU anakomaa na Duka la chakula. Mfano ananunua tomato paste Kwa 8000 akiuza rejareja packet 24 anapata faida ya 4000, mpaka amalize ishakuwa mwez au wiki. Wakati nikijisogezaa mfano Tu kigoma na milion zangu hizo za Duka la chakula nikaamua niwe nakusanya mbosa kutoka vijijin kama malagarasi na kwingineko na baadae Naja nakamulisha kupata mafuta naweza piga faida mara tatu ya Duka. Mfano kipind cha mvua mawese kigoma huwa yanafika mpaka 24000 Kwa dumu na wateja wanakosekana lakin mwanza au dar muzar oil yanakuwa yanahitajika Kwa wingi. Kukodi behewa kigoma dar haizid 1.5mil na hapo unaweza pakia dumu kama 700 lakin unakuta MTU kakomaaa dar Tu miaka.Leo siku nzuri sana. Watu wanajadili maswala ya maendeleo tupu. Shule nzuri sana, umeimwaga apa. Tatizo wengi tunataka tuwekeze apo DSM kitu ambacho ni kigumu sanaaaa. Mfano mzuri DSM kuna soko kubwa la maziwa fresh ya ng'ombe lakini sehemu za kufugia hakuna, lakini ukijificha mkoa wa pwani ukafuga unapata zako faida vizuri sana
Mhh komaaaa ndugu hakuna atayekuamini. Mimi niliwahi Fanya kazi na mzaz wangu kila nilipotaka kutoka nianzishe yangu anagoma. Nikalazimisha toka sikuwa na hata senti nilipomuomba hata 1.5mil anikope nisonge akanichinjia baharini. Bahat Tu nikasukuma kiwanja nikaanza yangu alipoona Niko mbali akataka ushirikina nikamchinjia bahariniMkuu ndugu niliyenaye ni Dada yangu wa Damu kabisa na yeye yupo serikalini hivyo kuhusu swala la kuchukua mkopo bank haina tatizo ila haniamini nahisi kama ulivyosema nilishawahi kumwambia anichukulie 3mil nitairejesha ndani ya mwaka mmoja,
Akanambia ye bado anadaiwa alikopa 8mil akanunua gari sa hv kakopa tena anajenga nyumba
Nmeamua kuachana nae napambana na hali yangu
Najua mwakani ndo mwaka wa mwisho kuajiriwa
Kuna mahind ya tanga, mbeya songea ni janga la kitaifa. Kiujumla kwangu changamoto ya mashine hasa kama za kusaga tulikuwa tunanunua plate nzito za 12inch tunachongesha mashine wenyewe kwahiyo unakuta mashine inakuwa nzito hata pale tulipokuwa tunabadilisha pull ili kuongeza speedy ilikuwa haisumbui. Kuhusu chekeche, Kwa SASA mahindi mengi ni masafi hayaji na vyuma vyuma. Roller hizo ni ajali kazini. Kuungua mota Sisi tulikuwa tunatumia mota kubwa 50hp mpaka 60hp hapo unapiga masaa 24 na mara nyingi tulikuwa tunanunua mpya kabisa sio hizi used. Mashine zetu ilikuwa kukoboa roller tano roller SITA, kusaga ni oversize. Kwa kuwasha mashine mbili yaani ya kusaga na kukoboa Kwa masaa 24 tulikuwa nanuwezo kupiga 15000 Sawa na viroba 420 vya unga.tukija kwenye faida hapa kwenu iko chini Sana maana Sisi iko mara moja na nusu ya ya kwenu. Location siwez taja hata Kwa dawa maana Nina mpango nirejee kivyanguhiyo biashara mzuri sana, niliifanya kwa brother mwaka 2006 2007 ni mzuri mno. Changamoto kubwa niliyoiona, mashine zinasumbua sana. Mara chekeche limetoboka, Mara rola imezingua, Mara motor imeungua basi tafrani. kwa ufupi ukiwa na mashine hata kulala ulali ni mwendo wa kugongagonga tu usiku kucha. lkn mambo mengine ni ya kawaida na unaweza kupambana nayo. wastani wa Tani moja ni viroba 30 vya kg 25. Pumba gunia 4. Kwa kipindi kile tulivyokuwa tunafanya sisi Tani 11 tulikua tunapata viroba 310 vya kg 25 na tukitoa gharama za uwendeshaji tulikua tunapata laki tatu Kama faida. Na tulikua tuna saga kila baada ya Siku 3. Pia kuna changamoto ya Umeme, Umeme bei juu Sana, hiyo ndo ilikua inatuumiza kichwa hasa ukikutana na mahindi Kama ya tanga ambayo hayatoi wastani mzuri.
Itakuwa ushirikiano na sio ushirikina! Nawaza tuMhh komaaaa ndugu hakuna atayekuamini. Mimi niliwahi Fanya kazi na mzaz wangu kila nilipotaka kutoka nianzishe yangu anagoma. Nikalazimisha toka sikuwa na hata senti nilipomuomba hata 1.5mil anikope nisonge akanichinjia baharini. Bahat Tu nikasukuma kiwanja nikaanza yangu alipoona Niko mbali akataka ushirikina nikamchinjia baharini
Nyinyi naona mlikuwa mnatumia roller tatu na mashine zile ndogo za Sido za mota 30hphiyo biashara mzuri sana, niliifanya kwa brother mwaka 2006 2007 ni mzuri mno. Changamoto kubwa niliyoiona, mashine zinasumbua sana. Mara chekeche limetoboka, Mara rola imezingua, Mara motor imeungua basi tafrani. kwa ufupi ukiwa na mashine hata kulala ulali ni mwendo wa kugongagonga tu usiku kucha. lkn mambo mengine ni ya kawaida na unaweza kupambana nayo. wastani wa Tani moja ni viroba 30 vya kg 25. Pumba gunia 4. Kwa kipindi kile tulivyokuwa tunafanya sisi Tani 11 tulikua tunapata viroba 310 vya kg 25 na tukitoa gharama za uwendeshaji tulikua tunapata laki tatu Kama faida. Na tulikua tuna saga kila baada ya Siku 3. Pia kuna changamoto ya Umeme, Umeme bei juu Sana, hiyo ndo ilikua inatuumiza kichwa hasa ukikutana na mahindi Kama ya tanga ambayo hayatoi wastani mzuri.
Kwikwi kweli nduguItakuwa ushirikiano na sio ushirikina! Nawaza tu