Savimbi JB
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 378
- 343
Daaah,,,unaweza kuwa umeongea ukweli ila umetumia maneno makali sana aiseee,,,taratibu jamani mtauaMkuu unadhan ni peke yako umesoma nchi hii?.acha ujinga wewe usijifanye mjuaji wakat hapo ulipo ni matako tu huna mbele wala nyumba ukute unaishi kwa shemej yako na elim uliyonayo,
Nsingekuwa mjuaji ma ma ko asingenipa huchi mwanangu.Mkuu unadhan ni peke yako umesoma nchi hii?.acha ujinga wewe usijifanye mjuaji wakat hapo ulipo ni matako tu huna mbele wala nyumba ukute unaishi kwa shemej yako na elim uliyonayo,
hovyo kabisa weweNsingekuwa mjuaji ma ma ko asingenipa huchi mwanangu.
IN CAPITAL LETTERSSiku zote ngonjera vijana wajiajiri na ufukunyuku wooote unaoelezwa na viongozi wa serikali huwa wanaongea kumfurahisha nani? Nisaidieni kuwaambie wale wanaopanda majukwaani kuwaambia vijana waliotoka vyuoni wajiajiri kuwa wanapaswa kupimwa akili
Pole SanaLeo nlipita ktk bank 5 tofauti kuulizia taarifa za mikopo kwa wajasiliamali:niliwatembelea CRDB,NMB,TPB.Barclays na MUCOBA, kifuatacho ndicho nilichokipata:
1. CRDB,NMB,TPB na MUCOBA
Hawa jamaa wanakopesha wafanyakazi wa serikali au mfanyabiashara mwenye biashara tayari inamaana kwa sisi tunaohitaji mtaji kwaajili ya kuanza biashara hatuna nafasi regardless una asset gani ya dhamana..
Mfano mimi nina kiwanja kimepimwa pia kinajengwa lakini wamesema sina nafasi kwakuwa sina biashara inayorun.
2. Barclays wao ndo hawana mpango kabisa wa kukopesha mjasiliamali.
Kiukwel nimehuzunika sana kwa ubaguzi huu nina asset to be used as security bado nafanya kilimo lakin sikopesheki?, dah tufanyaje sisi??
jaribu EQUITYLeo nlipita ktk bank 5 tofauti kuulizia taarifa za mikopo kwa wajasiliamali:niliwatembelea CRDB,NMB,TPB.Barclays na MUCOBA, kifuatacho ndicho nilichokipata:
1. CRDB,NMB,TPB na MUCOBA
Hawa jamaa wanakopesha wafanyakazi wa serikali au mfanyabiashara mwenye biashara tayari inamaana kwa sisi tunaohitaji mtaji kwaajili ya kuanza biashara hatuna nafasi regardless una asset gani ya dhamana..
Mfano mimi nina kiwanja kimepimwa pia kinajengwa lakini wamesema sina nafasi kwakuwa sina biashara inayorun.
2. Barclays wao ndo hawana mpango kabisa wa kukopesha mjasiliamali.
Kiukwel nimehuzunika sana kwa ubaguzi huu nina asset to be used as security bado nafanya kilimo lakin sikopesheki?, dah tufanyaje sisi??
Umeuliza swali zuri sana Miss MTAFUTAJI. Lengo la Benki si kukukopesha na kisha kuuza kiwanja chako. Ni bora auze mwenyewe kiwanja kama kweli anataka kufanya biashara kuepuka aibu ya mnada.kwaniniusiuze hicho kiwanja?
nilimwambia akanimind kweli halafu utakuta bahati nzuri ana nyumba tayari nimefunga tu mdomo wangu hapa watu hawajui madhara ya mkopo ujue .Umeuliza swali zuri sana Miss MTAFUTAJI. Lengo la Benki si kukukopesha na kisha kuuza kiwanja chako. Ni bora auze mwenyewe kiwanja kama kweli anataka kufanya biashara kuepuka aibu ya mnada.
Watu wanadhan kwenye biashara ni lazima wapate faida. Benki wanaangalia na uwezekano wa kupata hasara ndo maana wanataka kujirizisha na mzunguko wa biashara kabla ya dhamana. Usikute mleta mada kaenda benki hata business plan hana wakamwona mtupu akaja JF kulalama. WaTZ ndo tulivyo..!nilimwambia akanimind kweli halafu utakuta bahati nzuri ana nyumba tayari nimefunga tu mdomo wangu hapa watu hawajui madhara ya mkopo ujue .
huo muda wa kuzungushia benk biashara uwape hela si bora utafute hela yako ? unakuta mtu ana nyumba na viwaja 4 bado anakopa benk? ulinunua vya nini si akiba ikusaidie mbeleni incase of emergency? mtu ukishauri anakuja juu sasa huku kafata nini kama anataka tumshauri anachotaka si angefanya tu hukohuko?Watu wanadhan kwenye biashara ni lazima wapate faida. Benki wanaangalia na uwezekano wa kupata hasara ndo maana wanataka kujirizisha na mzunguko wa biashara kabla ya dhamana. Usikute mleta mada kaenda benki hata business plan hana wakamwona mtupu akaja JF kulalama. WaTZ ndo tulivyo..!
Si kila mtu anaweza kufanya biashara au kuwa mjasiriamali. Ndo maana maprof' wanaofundisha biashara vyuo vikuu wamekubali kuajiriwa tu na kazi za ushauri kidogo ndo wanaingiza kipato cha ziada. Lakn huwaoni benki wakichukua mikopo ya biashara. Tafakari..!huo muda wa kuzungushia benk biashara uwape hela si bora utafute hela yako ? unakuta mtu ana nyumba na viwaja 4 bado anakopa benk? ulinunua vya nini si akiba ikusaidie mbeleni incase of emergency? mtu ukishauri anakuja juu sasa huku kafata nini kama anataka tumshauri anachotaka si angefanya tu hukohuko?
Mikopo ya kibiashara iko hivyo kisura.! Hata kina Mengi wakikopa kuna vitu wanaweka rehani, fungua macho.ok ushauri haulazimishwi ila ni ujinga mtupu kuweka kitu rehani kwa ajili ya mkopo
wajinga sana hao naona wameichukua discussion na kujipa utabiri mara oooh pengine ana nyumba nyingne au oooh hata business plan hana yaan full kujifanya watabir nimeamua kuwaangalia na ujinga wao....Mikopo ya kibiashara iko hivyo kisura.! Hata kina Mengi wakikopa kuna vitu wanaweka rehani, fungua macho.
Mkuu, ujinga ni kudhani kuwa ukileta hoja ya kulalama humu wadau wote watakuonea huruma. Kwenye kutafuta elimu kuna kuchapwa viboko, matusi, kukatishwa tamaa na adhabu nyingine nyingi kutegemeana na medium of delivery na level yake. Unachokitafuta hapa wewe ni elimu kwa maana kwamba wewe ni mjinga katk masuala ya mikopo ya kibiashara, hujui vigezo vya kukufanya ukopesheke na taasisi za fedha. Hivyo, jitahidi kuwa na kifua cha kupokea changamoto na kuzitafsiri kwa mtazamo chanya utapata mengi ya kujifunza.wajinga sana hao naona wameichukua discussion na kujipa utabiri mara oooh pengine ana nyumba nyingne au oooh hata business plan hana yaan full kujifanya watabir nimeamua kuwaangalia na ujinga wao....
wanatabir tabir utadhan sheikh yahaya