Banks opt out of funding EACOP

I am at crossroads between laughing and feeling pity. 🤣 🤣 🤣
 
Hio sio mara ya kwanza kwa Total kusimamisha shughuli zao kule, last time walipokuwa harassed na Shabaab, Total waliwapa Mozambican govt condition kwamba ili waendelee Kazi ni lazima wa-establish a security cordon ya at least 25 km radius. But again with the latest attacks it is clear now Serial imeshindwa na inahitaji Masada.

Cha ajabu ni kuwa last month US green berets walikuwa deployed eneo la tukio ili kusaidia jeshi la Serikali, then 2 weeks later Shabaab wakafanya ya kwao, inabidi nchi za ki-Afika kuangalia kwa makini hii aina ya misaada ya kijeshi tunayoletewa. soma hio link:


Kwa upande wa EACOP wameona njia ya ku-sabotage the projects kwa kutumia insurgency haitawezekana ndio wakaja na hii syle yao ya kutumia akina MK254 na her numerous fake NGO's
 

Hehehe! Napenda mnavyotupea credit, hivyo ina maana uwezo huo tunao, sikujua GoK ina uwezo wa kucheza high level politics za kwenye kiasi hiki....
Pamoja na kwamba nawahurumia kwa kile kinachotendeka, ila hizo credits zimenikosha kiasi.
 
Halafu SADC ni useless sana.
 
Ila wakiacha ISIS itie mizizi itatusumbua maana location ya vitalu vya gesi vya Tanzania na Msumbiji ni pua na mdomo with speed boat wataingia na kufanya uharibifu!
 
Halafu SADC ni useless sana.
Wacha kuhara Ijumaa Kuu! Kumbuka SADC haohao walimtimua Museveni na Kagame eastern DRC Congo. Tatizo lipo kwa serikali ya Msumbiji yaani Northern Mozambique ni kama Northern Kenya so much neglected hata mobilization ni challenge! Hiyo EAC unayoongelea Kagame na Museveni hawaongei na pia Kagame na serikali ya Burundi hawaongei na Southern Sudan iko in Coma!
 
Ila wakiacha ISIS itie mizizi itatusumbua maana location ya vitalu vya gesi vya Tanzania na Msumbiji ni pua na mdomo with speed boat wataingia na kufanya uharibifu!
Mbona msitume JWTZ mkate pembe za hao vijana wangali bado wanajifunza ugaidi? Msingoje wajifunze kuunda IEDs na explosive vests. Mkate pembe zao sasa hivi. Samaki mkunje angali mbichi.
 
Mbona msitume JWTZ mkate pembe za hao vijana wangali bado wanajifunza ugaidi? Msingoje wajifunze kuunda IEDs na explosive vests. Mkate pembe zao sasa hivi. Samaki mkunje angali mbichi.
Kwahiyo unaingia tu territory ya nchi nyingine bila greenlight? It would have made sense if JWTZ was allowed in! see the proximity of Cabo Delgado and Maputo!





See gas and oil blocks






Tony254 unaona network ya pipelines? Imagine EACOP inakuja halafu hiyo ya gesi itajengwa kutoka mpaka Uganda kupitia Tanga! Ngoja mambo ya FDI yakamilike yajayo yanafurahisha!
 
Unaishi kwenye mfumo wa pesa wa mzungu. Hata kama usipomuomba hela. Bado utalipa kodi ya kutumia dollar yake.. by the way yeye ndo ana control hiyo pesa yako. Akijisikia anaweza kuishusha thamani. We unabaki kupiga mayowe unataka kujitegemea. Unajitegemea kwa kipi na bado uko ndani ya mfumo. Eti usonge mbele kimaendeleo. Hebu tuache kuishi ndotoni. Africa its too late. At this point yu just stay aside and wait for natural coincidence
 
Hehehe! Napenda mnavyotupea credit, hivyo ina maana uwezo huo tunao, sikujua GoK ina uwezo wa kucheza high level politics za kwenye kiasi hiki....
Pamoja na kwamba nawahurumia kwa kile kinachotendeka, ila hizo credits zimenikosha kiasi.
Aki nyie kwenye mambo ya pipeline msahau, uncle JPM alishawapiga bao la kisigino, haitakaa mtoboe...

Mtabaki kulalama through NGOs sore loosers....
 
Mradi ni wa dola billioni 3 tu.. Gdp ya Tz+UG ni karibu $100b..Waafrika muwache kuhangaika na pesa za wakoloni..Ni Rais kenyatta aliye sema JPM ndiye aliyeonyesha dunia kwamba inchi zinaweza kufanya maendeleo bila mikopo au misaada

Hahah Mikopo aliyokopa Magu mbona ni mikubwa kuliko ya kipindi chote cha Jakaya?

Au unamaanisha mikopo ya Saccos?
 
Three days ago Russia deployed a very huge column of military hardware to Crimea, things are heating up fast...
Sijajua Russia anapanga kufanya nini dhidi ya Ukraine. Anyway, tutajua tu hivi karibuni.
 
SSH need to be smart
 
I'm sceptical about the source of this news... the project is on go.

Changamkieni fursa wadau. Hata majirani mkiweza kujipenyeza fursa zipo tele. Mradi mkubwa huu na uwekezaji unagharimu pesa ndefu.

View attachment 1740851
also local content isues are taking place. kila siku tender zinatangazwa. FID is just inches away. hii project ipo haiwezi simamishwa na hao wajinga. TOTAL walinunua visima kutoka Tullow for almost $570 alafu asijenge pipeline, this is insane. what will TOTAL do with almost 6 billion barrels of oil if will not taken to world market.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…