Banning pregnant girls from school is against the laws of Tanzania

Primitive or not, facts will remain to be facts.
Tatizo wengi wenu think up to only half of the problem, get qick fix solutions, and shove them to the taxpayer, and expect all will be fine!

Mimba za watoto zipo, na hilo ni social problem ambapo sheria zipo kulikabili.
Hata hivyo ni tatizo lisilikubalika kijamii.
Na jamii hasa wazazi wamelegalega katika hili.
Ndiyo, kuna rape, na kuna njia kisheria ku redress hilo.

Jamii yetu ikilegea tu, na kukubaliana enmass mimba za utotoni, shule za mabinti zitageuka maternity wards.
Kijana gani aliyebalehe asiyependa kujijaribu sexually?
Its part of growing up, lakini red lines must be drawn.

Kwa tone ya argument yako you are anti Mgufuli, thats your problem.
Lakini kama una mabinti, nawe wafukuzia noti 24/7 usitegemee kodi zetu zikulindie, zisomeshe wako hata wakipata mimba, kwani uliwazaa wa nini kama huwezi kutunza watoto?
And when you think that through ,THAT IS PRIMITIVE.
 
What a stupid writer!! Go to hell if you insist pregnant pupils to return to school. Establish your own schools if you are interested to take them!!
 
What a stupid writer!! Go to hell if you insist pregnant pupils to return to school. Establish your own schools if you are interested to take them!!
Acha upumbavu na uzezeta, imagine ni mwanao ndo kabakwa na kupewa mimba at age 12-13...


spend less, save more
 

Wewe una watoto/mtoto wa kike ?

Au ndiyo bado uko kwenye u - teenager na kwa hiyo sexual desire yako iko juu kweli kweli and you are always on trial ?

Nakubaliana na wewe kwa mambo mawili :

Mosi, I am ant - Magufuli. Yes, I am and I didn't vote for him and I will never !!

However, he's the president of this country and the law of nature tells me to accept him as a leader who was democratically elected despite of many irregularities....but this doesn't mean that I should swallow whatever rubbish from his leadership as you do !!

Pili, unasema zipo sheria nyingi zinazowalinda watoto wa kike.

That's good because you know that. However, what is your argument so far ktk hili ?

Kwani Rais wako, homeboy wako before hajatoa kauli kali na ya ajabu ignorantly hakuwa anatambua kuwa kuna sheria hizo ?

Narudia kukuambia, kubali kuwa Mr President, alichemka ...... period!!

Ukimya (ambayo ndiyo busara ya kiongozi makini) sometimes ingekuwa ni jibu tosha kwake kuwa, hataki watoto wa kike wanaopata ujauzito kupata elimu !!!
 
Masikini tumehama kwenye ufinyu wa kipato sasa ni ufinyu wa akili, yaani tunauwana sisi kwa sisi

Tatizo elimu tunachukulia kupatikana kwake ni kama hela kumbe yabidi kuwa kama chakula tuu,

mana ujenzi wa nchi hauangalii nani alitiwa mimba akarudi shule au akabaki nyumbani,

hapa kutakuwa na prolongation ya kamba ya masikini kubakia watumwa maisha yao yote,

na wenye nazo kuwa watawala tuu, wapendwa elimu haiangalii tumbo limejaaje bali, ubongo umejaa nini

mana uzuri au ubaya wa elimu haunaga mwisho, haya wadogo zetu, ni wanaowalisha ndio wanaowafukuza mezani sasa hivi
 
Magufuli is well within his rights to ban the girls as he has also initiated punishments for the man responsible.
 
Ipo siku huyu dikteta uchwara bwana Jinga Pumba Mazizi atatamka kuwa amewaonea huruma watoto watakaopata mimba waendelee na shule, na zile maiti za Lumumba utaziona zinakuja kusema huyu ndo rais wa wanyonge. Bora nchi ingeongozwa na Joti kabisa tukajua moja kuliko hizi PhD za Korosho uchwara
 
Mwachie dadaako apigwe mimba ili mkadai haki mahakamani kama mtaiona. Kumbe misukule mpo wengi. Ila usikatae kulea mtoto wake pia.

Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
 
😱😱😱 hii comment ni baab kubwa.....

Inawezekana wameshaku - inbox kukuambia ".....hey, It's inappropriate language !!! "
 
Tunaopanda daladala na hawa watoto ndio tunawajua, kwanza hawana adabu na mazungmzo yao ni wanaume tu, nilimsikia bint anamwambia mwenzie wiki nzima hajaingia darasani yupo kwa bwana na hivi akitoka darasani anaunganisha huyu naye akipata Mimba aendelee na masomo? Hovyo sana tusitetee ujinga, aendelee na maisha aliyoyachagua, mitoto yenyewe ipo juu ya vichwa vya wazazi wao ndio maana mnawatetea, Mkulu endelea na msimamo huo huo, mkitaka mkawasomeshe private

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…