Bao la tatu linatunga mimba?

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
8,589
Reaction score
16,936
Je, msichana anaweza kupata mimba ya bao la tatu? Mabao mawili ya mwanzo mzigo ulimwagwa nje, la tatu uvumilivu ukakoma.
 
Inawezekana kwani kama mbegu za mwanaume zna makali inawezekana kupatikana kwa bao la tatu
 
As long as semen zina sperms na msichana ameteremsha yai,uwezekano ni mkubwa tu
 
Je msichana anaweza kupata mimba ya bao LA tatu? Mabao mawili ya mwanzo mzigo ulimwagwa nje, LA tatu uvumilivu ukakoma

100% inawezekana mi nina mtoto ana miezi minne sasa mimba Yale ilitungwa asubuhi kwa bao la 4 coz ucku kucha ilikua mechi kali na jezi zake ila asubuhi penati nilipiga bila jezi....akapatikana jamaa
 
ahahahaha sasa ndio ulifanya nini huyo mtoto atakuwa kilaza tu darasani kwani bao halina virutubisho muhimu kwa ukuaji wa akili
 
ulizeni wataalamu coz mimi ninavyofahamu first ejaculation ndo inamatured sperms zenye nguvu kuliko zingine so unajuaje bao la nne lasababisha mimba?
 
ahahahaha sasa ndio ulifanya nini huyo mtoto atakuwa kilaza tu darasani kwani bao halina virutubisho muhimu kwa ukuaji wa akili

eti eeeh ngoja tuone itakuaje ila naamini kama hilo bao liliweza kulutubisha yai mimba ikatungwa basi atakua poa tu
 
Mimi iliwai nitokea la tano,nimepiga,nne na buti latano nilipigia bafun tunaoga ya kuagana,bila buti,ikanasa,Ila baadae alipata ectopic pregnancy, akafanya operation
 
Ingekua hujamalizia hizo sentensi za operation akyamungu ningeiba simu nichokonoe Jf yake muda huu huu!
 
100% inawezekana mi nina mtoto ana miezi minne sasa mimba Yale ilitungwa asubuhi kwa bao la 4 coz ucku kucha ilikua mechi kali na jezi zake ila asubuhi penati nilipiga bila jezi....akapatikana jamaa

Sasa kama ulimpiga bao asubuhi unachanganyaje na bao la jana. Hilo ni bao la kwanza kwa siku hiyo.
 
Ingekua hujamalizia hizo sentensi za operation akyamungu ningeiba simu nichokonoe Jf yake muda huu huu!

sijakuelewa kuchokonoa JF yake,ki vp,huyu wangu anaishi Dodoma,ila tumeachana, ilikua mwaka 2012,tuliachana 2014
 
Je, msichana anaweza kupata mimba ya bao la tatu? Mabao mawili ya mwanzo mzigo ulimwagwa nje, la tatu uvumilivu ukakoma.

Mie bwana wangu hafikishi bao la tatu, je, anaumwa?
Akipiga mawili basi anageukia pembeni na kuuchapa usingizi.
 
Ukitaka afikishe matano fanya haya
badilisheni sehemu za kucheza mechi
1.mechi ya kwanza kwenye kochi
2.bafuni huku maji yakitoka juu kama mvua
3.madame panda juu ya kiti uchuchumae na jamaa akushuhulikie
4.hakikisha mechi nyingine madame wewe upande juu jamaa awe chini
5.mechi ya mwisho mwambie atumie katerero methodsm
 
100% inawezekana mi nina mtoto ana miezi minne sasa mimba Yale ilitungwa asubuhi kwa bao la 4 coz ucku kucha ilikua mechi kali na jezi zake ila asubuhi penati nilipiga bila jezi....akapatikana jamaa

Penalti ilipigwa bila jezi au goli la piga nikupige
 
Namba 3 una maana mjamaa anajilaza chini yangu kama nyoka anachungulia?
 
Hapana madame haujanielewa, inamaana jamaa yako analala kifo cha mende, ndipo wewe madame uje juu uizamishe penis ya jamaa ndani ya 'k', hapa nyuso zenu zitakuwa pamoja, jamaa anazungusha kiuno kutoka chini kuja juu, wewe madame unazungusha kiuno kutoka juu kuja chini, hii ukiicheza vizuri ukiwa juu ya jamaa unaweza ukabadilisha mkao ukiwa unajizungusha kama kiti cha saloon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…