KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Je, msichana anaweza kupata mimba ya bao la tatu? Mabao mawili ya mwanzo mzigo ulimwagwa nje, la tatu uvumilivu ukakoma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je msichana anaweza kupata mimba ya bao LA tatu? Mabao mawili ya mwanzo mzigo ulimwagwa nje, LA tatu uvumilivu ukakoma
ahahahaha sasa ndio ulifanya nini huyo mtoto atakuwa kilaza tu darasani kwani bao halina virutubisho muhimu kwa ukuaji wa akili100% inawezekana mi nina mtoto ana miezi minne sasa mimba Yale ilitungwa asubuhi kwa bao la 4 coz ucku kucha ilikua mechi kali na jezi zake ila asubuhi penati nilipiga bila jezi....akapatikana jamaa
ahahahaha sasa ndio ulifanya nini huyo mtoto atakuwa kilaza tu darasani kwani bao halina virutubisho muhimu kwa ukuaji wa akili
Mimi iliwai nitokea la tano,nimepiga,nne na buti latano nilipigia bafun tunaoga ya kuagana,bila buti,ikanasa,Ila baadae alipata ectopic pregnancy, akafanya operation
100% inawezekana mi nina mtoto ana miezi minne sasa mimba Yale ilitungwa asubuhi kwa bao la 4 coz ucku kucha ilikua mechi kali na jezi zake ila asubuhi penati nilipiga bila jezi....akapatikana jamaa
Ingekua hujamalizia hizo sentensi za operation akyamungu ningeiba simu nichokonoe Jf yake muda huu huu!
Je, msichana anaweza kupata mimba ya bao la tatu? Mabao mawili ya mwanzo mzigo ulimwagwa nje, la tatu uvumilivu ukakoma.
Je, msichana anaweza kupata mimba ya bao la tatu? Mabao mawili ya mwanzo mzigo ulimwagwa nje, la tatu uvumilivu ukakoma.
Mie bwana wangu hafikishi bao la tatu, je, anaumwa?
Akipiga mawili basi anageukia pembeni na kuuchapa usingizi.
100% inawezekana mi nina mtoto ana miezi minne sasa mimba Yale ilitungwa asubuhi kwa bao la 4 coz ucku kucha ilikua mechi kali na jezi zake ila asubuhi penati nilipiga bila jezi....akapatikana jamaa
Ukitaka afikishe matano fanya haya
badilisheni sehemu za kucheza mechi
1.mechi ya kwanza kwenye kochi
2.bafuni huku maji yakitoka juu kama mvua
3.madame panda juu ya kiti uchuchumae na jamaa akushuhulikie
4.hakikisha mechi nyingine madame wewe upande juu jamaa awe chini
5.mechi ya mwisho mwambie atumie katerero methodsm
Namba 3 una maana mjamaa anajilaza chini yangu kama nyoka anachungulia?
Namba 3 una maana mjamaa anajilaza chini yangu kama nyoka anachungulia?