klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
kabla kukupa ushauri ningependa kujua kwanza , hili bao ni la halali? au la off side?Mwenzenu nahitaji ushauri. Kwa muda muda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la wakati wa tendo la ndoa, baada ya kupiga bao moja huwa nakuwa hoi kabisa. Kama nikitaka la pili lazima niuze timu (niende pekupeku). Nifanyeje ili niweze kuwa na nguvu za kuenda hata mabao matatu ndani ya kiroba. Nahiataji msaada wenu jameni
Nimekuelewa Carmel. shida ni kwamba ukikaa na washkaji kila m2 anajisfia kwa uhodari wa kupiga mabao
Tafuta Viagra :dance:
si kweli kaka, hizo story za kijiweni mara nyingi ni uongo na kujisifia, tena huwa ni za teenagers, in reality huwa si kweli. inategemea hilo bao moja unaenda dakika ngapi, kama ni two minute over, then thats another problem, lakini kama umetumia 20 minutes to 30 bado una uwezo wa kupiga mengine matatu? tuwe wakweli, hao wanaodhani kupiga mabao mengi ndo great sex, they are very wrong, and i dare to say they dont know how to make love. sorry people.
s inategemea hilo bao moja unaenda dakika ngapi, kama ni two minute over, then thats another problem,
lakini kama umetumia 20 minutes to 30 bado una uwezo wa kupiga mengine matatu? tuwe wakweli, hao wanaodhani kupiga mabao mengi ndo great sex, they are very wrong, and i dare to say they dont know how to make love. sorry people.
kaka/dada, the point i am trying to deliver ni kwamba, mtu ajiamini kwa kila anachokifanya, be yourself, hizi story mnazodanganyana vijiweni kutwa, wengine wanakaa na kufeel inferior kumbe wengi ni waongo. mwisho mtu anadhani ana tatizo kuubwa kumbe hana tatizo at all, wengine wanaamua hadi kutafuta maviagra, kisa story, ndo maana nasema, akiweza kuboresha hata hilo bao moja analopata linaweza kuwa fulfiling kwake kushinda mabao yenu matatu ya dakika mbili mbili.Wako wengi tu wamejaliwa kupiga hizo bao tatu au hata zaidi tena bila kutumia viagra au dawa yoyote ile, hivyo si uongo and yes they know how to make love. Usibishe kitu ambacho hukijui na kuandika kwamba ni uwongo wakati huna njia yoyote ya kuprove kwamba ni uwongo.
Hahahaha...I could be a one minute man but I guarantee to give you the best minute you've ever had in your life....lol
Long and frequent sex dries up the vagina. I have first hand experience of this. Hiyo kesho yake mwanamke akienda kukojoa sehemu sehemu kunawaka kama fireworks
it all depends man. i wont discuss this anyfurther, coz i might have a different opinion altogether.
Bao moja unapoteza Dakika 3 za maisha unless umekula chakula cha kufidia maisha yako.Kama umezoea chips kuku(zenye arv) afu unataka mabao kama Portugal walivyoifunga Korea basi unajiua mwenyewe.
kaka/dada, the point i am trying to deliver ni kwamba, mtu ajiamini kwa kila anachokifanya, be yourself, hizi story mnazodanganyana vijiweni kutwa, wengine wanakaa na kufeel inferior kumbe wengi ni waongo. mwisho mtu anadhani ana tatizo kuubwa kumbe hana tatizo at all, wengine wanaamua hadi kutafuta maviagra, kisa story, ndo maana nasema, akiweza kuboresha hata hilo bao moja analopata linaweza kuwa fulfiling kwake kushinda mabao yenu matatu ya dakika mbili mbili.
Mwenzenu nahitaji ushauri. Kwa muda muda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la wakati wa tendo la ndoa, baada ya kupiga bao moja huwa nakuwa hoi kabisa. Kama nikitaka la pili lazima niuze timu (niende pekupeku). Nifanyeje ili niweze kuwa na nguvu za kuenda hata mabao matatu ndani ya kiroba. Nahiataji msaada wenu jameni
.................tuwe wakweli, hao wanaodhani kupiga mabao mengi ndo great sex, they are very wrong, and i dare to say they dont know how to make love. sorry people.
[/B]
Wewe, kwishne habari yako! Bao moja dakika 20 halina maana kuwa umemaliza shughuli. Kuna wanawake wengine psychologically bila bao tatu hawahizi kama wamefanya ngono. The reason why many married wives cheat! Tafuta misosi halisi nan pumzika kwa kadri uwezavyo. Kama Rijali lazima unaweza zaidi ya moja on daily basis.
Tafuta Viagra :dance: