Bao moja hoi

Bao moja hoi

Mwenzenu nahitaji ushauri. Kwa muda muda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la wakati wa tendo la ndoa, baada ya kupiga bao moja huwa nakuwa hoi kabisa. Kama nikitaka la pili lazima niuze timu (niende pekupeku). Nifanyeje ili niweze kuwa na nguvu za kuenda hata mabao matatu ndani ya kiroba. Nahiataji msaada wenu jameni
kabla kukupa ushauri ningependa kujua kwanza , hili bao ni la halali? au la off side?
 
Nimekuelewa Carmel. shida ni kwamba ukikaa na washkaji kila m2 anajisfia kwa uhodari wa kupiga mabao

si kweli kaka, hizo story za kijiweni mara nyingi ni uongo na kujisifia, tena huwa ni za teenagers, in reality huwa si kweli. inategemea hilo bao moja unaenda dakika ngapi, kama ni two minute over, then thats another problem, lakini kama umetumia 20 minutes to 30 bado una uwezo wa kupiga mengine matatu? tuwe wakweli, hao wanaodhani kupiga mabao mengi ndo great sex, they are very wrong, and i dare to say they dont know how to make love. sorry people.
 
Tafuta Viagra :dance:

FL mbona umembania jamani ? Mpe live akitaka mabao kama ya Ujerumani kwa England apige VIAGRA. Lakini ajue wengi wameshakufa kwa matumizi mabovu ya viagra. Ukitaka ya hivyo mwone kwanza dakatari mtu wangu tusijekukupoteza bure kwa kun'gang;nia mabao yasiyomaliza hamu ya hiyo maneno.
 
si kweli kaka, hizo story za kijiweni mara nyingi ni uongo na kujisifia, tena huwa ni za teenagers, in reality huwa si kweli. inategemea hilo bao moja unaenda dakika ngapi, kama ni two minute over, then thats another problem, lakini kama umetumia 20 minutes to 30 bado una uwezo wa kupiga mengine matatu? tuwe wakweli, hao wanaodhani kupiga mabao mengi ndo great sex, they are very wrong, and i dare to say they dont know how to make love. sorry people.

Wako wengi tu wamejaliwa kupiga hizo bao tatu au hata zaidi tena bila kutumia viagra au dawa yoyote ile, hivyo si uongo and yes they know how to make love. Usibishe kitu ambacho hukijui na kuandika kwamba ni uwongo wakati huna njia yoyote ya kuprove kwamba ni uwongo.
 
jamani mnaomwambia bao moja linatosha ............kwake halimtoshi ndo maana akaona tatizo.

ili kuongeza mabao nafikiri unahitaji zaidi kubadili vyakula unavyokula na mfumo wa maisha. mazoezi, vyakula healthy, usivute sigara, wala usinywe pombe kwa kuzidisha, usiwe obese wala overweight, ........................ukitimiza hayo utapata japo mawili
 
s inategemea hilo bao moja unaenda dakika ngapi, kama ni two minute over, then thats another problem,

Hahahaha...I could be a one minute man but I guarantee to give you the best minute you've ever had in your life....lol

lakini kama umetumia 20 minutes to 30 bado una uwezo wa kupiga mengine matatu? tuwe wakweli, hao wanaodhani kupiga mabao mengi ndo great sex, they are very wrong, and i dare to say they dont know how to make love. sorry people.

Long and frequent sex dries up the vagina. I have first hand experience of this. Hiyo kesho yake mwanamke akienda kukojoa sehemu sehemu kunawaka kama fireworks
 
Wako wengi tu wamejaliwa kupiga hizo bao tatu au hata zaidi tena bila kutumia viagra au dawa yoyote ile, hivyo si uongo and yes they know how to make love. Usibishe kitu ambacho hukijui na kuandika kwamba ni uwongo wakati huna njia yoyote ya kuprove kwamba ni uwongo.
kaka/dada, the point i am trying to deliver ni kwamba, mtu ajiamini kwa kila anachokifanya, be yourself, hizi story mnazodanganyana vijiweni kutwa, wengine wanakaa na kufeel inferior kumbe wengi ni waongo. mwisho mtu anadhani ana tatizo kuubwa kumbe hana tatizo at all, wengine wanaamua hadi kutafuta maviagra, kisa story, ndo maana nasema, akiweza kuboresha hata hilo bao moja analopata linaweza kuwa fulfiling kwake kushinda mabao yenu matatu ya dakika mbili mbili.
 
Hahahaha...I could be a one minute man but I guarantee to give you the best minute you've ever had in your life....lol

Long and frequent sex dries up the vagina. I have first hand experience of this. Hiyo kesho yake mwanamke akienda kukojoa sehemu sehemu kunawaka kama fireworks

it all depends man. i wont discuss this anyfurther, coz i might have a different opinion altogether.
 
it all depends man. i wont discuss this anyfurther, coz i might have a different opinion altogether.

It's all good. The first part of my reply I was just being facetious. Nothing too serious. Be easy.
 
kufanya kitendo kwa zaidi ya dakika 20 hakuna maana kama ndio mtaalamu vile vile..........tusi confuse hii kitu.

anyway mie nafikiri chakula na mazoezi ni njia moja nzuri sana ya kumiprove health yako ya kawaida na health yako kitandani.............
 
Bao moja unapoteza Dakika 3 za maisha unless umekula chakula cha kufidia maisha yako.Kama umezoea chips kuku(zenye arv) afu unataka mabao kama Portugal walivyoifunga Korea basi unajiua mwenyewe.

Biologically, energy loss in one ejaculation is equivalent to the energy loss in a 6km run. Kwa hiyo unachotakiwa kufanya ni kupata misosi mizuri kwa ajili ya kucompansate nguvu hizo ulizopoteza kwenye bao moja ambazo ni sawa na nguvu ambazo ungezitumia kukimbia kilomita 6. Lakini kwa maisha ya kiafrica hali haipo hivyo. Wengi hawana uwezo kwa hiyo misosi ndo maana life expectancy inapungua kama alivyosema pape.
 
kaka/dada, the point i am trying to deliver ni kwamba, mtu ajiamini kwa kila anachokifanya, be yourself, hizi story mnazodanganyana vijiweni kutwa, wengine wanakaa na kufeel inferior kumbe wengi ni waongo. mwisho mtu anadhani ana tatizo kuubwa kumbe hana tatizo at all, wengine wanaamua hadi kutafuta maviagra, kisa story, ndo maana nasema, akiweza kuboresha hata hilo bao moja analopata linaweza kuwa fulfiling kwake kushinda mabao yenu matatu ya dakika mbili mbili.

Nani kakwambia wengi ni waongo? Ulihakikisha vipi kama wanasema uwongo? inawezekana kabisa hana tatizo lakini kuna wengine wanauwezo huo wa kupiga bao tatu au hata zaidi bila mkuyati au viagra. Hujawahi kuwa mwanaume hivyo huwezi kuzungumzia kitu cha kiume kama vile unakijua kwa uhakika. Na kwa taarifa yako huwezi kupiga bao tatu kwa dakika mbili, ndiyo maana nasema usijifanye kujua kitu ambacho hukijui.
 
Kwa kweli nashukuru sana kwa michango yenu. Nimeamini kuwa jamiiforums ni mahala ambapo panaweza tatua matatizo mengi sana ya kimaisha kama si ya kimaendeleo. Biu up jamiiforums
 
Mwenzenu nahitaji ushauri. Kwa muda muda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la wakati wa tendo la ndoa, baada ya kupiga bao moja huwa nakuwa hoi kabisa. Kama nikitaka la pili lazima niuze timu (niende pekupeku). Nifanyeje ili niweze kuwa na nguvu za kuenda hata mabao matatu ndani ya kiroba. Nahiataji msaada wenu jameni

...ushauri muafaka utaupata kwa dakitari wako. Hii ni ishara ya tatizo kubwa zaidi lililojificha. Unahitaji kuangaliwa afya yako,
  • labda umezidi uzito, au umri umekwenda,
  • au una usongo wa mawazo,
  • au ugonjwa wa kisukari unakunyemelea,
  • au huvutiwi kiviiiile na shemeji...

sababu ni nyingi sana kiasi kwamba hata ukiji overdose na hizo Viagra ukashindwa kuamka vile vile.
 
.................tuwe wakweli, hao wanaodhani kupiga mabao mengi ndo great sex, they are very wrong, and i dare to say they dont know how to make love. sorry people.

Wewe, kwishne habari yako! Bao moja dakika 20 halina maana kuwa umemaliza shughuli. Kuna wanawake wengine psychologically bila bao tatu hawahizi kama wamefanya ngono. The reason why many married wives cheat! Tafuta misosi halisi nan pumzika kwa kadri uwezavyo. Kama Rijali lazima unaweza zaidi ya moja on daily basis.
 
[/B]

Kusema kweli haya mambo ya bao ngapi na kwa muda gani inachukua kufikia kilele ni mambo yanayotofautiana kutoka kwa mtu hadi kwa mtu. Kama ulivyosema, kuna wanawake ambao wana hamu kupita kiasi ya kufanya mapenzi. Kuna hali inaitwa Nymphomania. Ukimpata mwanamke mwenye nymphomania wakati wewe libido yako ndogo kwa kweli hapo mtakuwa mismatched. Kuna wanawake wengine nao hawachukui muda mrefu kukojoa. Pump mbili tatu tu huyo..unamwona mwenzako anakunja sura (kwa kusikilizia utamu) kama mbuzi.

Kuna wengine piga nje ndani hata saa zima mwenzako wapi...ndio kwanza anakuuliza 'bado tu hujamaliza'....au 'please cum baby please'....yaani anakuhimiza kabisa umalize umwache. Ukiona hivyo ujue aidha hakufeel kihivyo au ana low sex drive na kufanya matusi kwake ni usumbufu tu. Waulize waliofikwa na menopause watakwambia.
 
Kama mdau Lutalo alivyosema yeye akienda bao Moja Hoi,na watu wamemshauri bao moja linatosha kabisa,
lakini kuna my friend wangu alinipa kero ya Mpenzi wake ,wakati wanafanya mapenzi anamuhesabia mshkaji kabisa anapush 1,2,3, ya 4 jamaa kashamaliza zamani ajitahidi sana anaenda ya 5 na akimaliza analala HOI aamki tena,Jamaa mwanzoni alikuwa kimya lakini miezi michache iliyopita kamtolea uvivu kamwambia Condom ndio inamfanya asiweze kufanya sana eti kuwa inambana. Sister kuona ivyo kamwambia hawezi kufanya bila Condom kutokana na Hali halisi ya Ukimwi na kupata Mimba zisizotarajiwa,
sasa hivi Uhusiano wao uko juu ya mawe sababu hiyo.
 
Back
Top Bottom