Bar Code kwenye bidhaa ina faida gani?

Famous01

Member
Joined
Jun 21, 2016
Posts
11
Reaction score
3
Habari wadau .. Eti bidhaa yako inakua na faida gani kuweka barcode? Na hiyo barcode inawekwaje na gharama zake zikoje?
 
Habari wadau .. Eti bidhaa yako inakua na faida gani kuweka barcode? Na hiyo barcode inawekwaje na gharama zake zikoje?
Mkuutl
Barcode ni uthibiti na utambulisho wa bidhaa yako sawa sawa kuwa na Namba ya usajili katika gari yako.
Inakupa hadhi katika masoko ya bidhaa kwamba bidhaa inamilikiwa na mwenyewe na si bidhaa ya uchochoroni lakini usiichukulie Barcode kama ni kiwango cha bidhaa yako, TFDA na TBS ndio wanahusika na uthibitishaji wa viwango.
Barcode unalazimika kuwa na jina la usajili...BRELA, hivyo uwe na Certificate of Registration, Lesni ya biashara ya hiyo biashara na Tin.
Ukikamilisha vitu hivyo Office husika iko mikocheni light industrial block piga simu 0713 66 6616..Pius atakusaidia. Gharama....usajili na malipo ya mwaka ni kitu kama 250,000/=
Mheshimiwa umetafuta msaada hakuna sababu ya kukunyima msaada ikiwa ni jambo watu wanajua na ni la maendeleo.
Don't misuse that opportunity abide yourself with rules and regulations to some peoples offices.
Sikujui hunijui lakini kusaidiana ni wajibu ili mradi usiende kuharibu huko. Siku moja tutafahamiana tu iwe kwa wema, heshima na taadhima.
OK all the best.
 
Maelezo mzuri sana mkuu.
 
Habari wadau .. Eti bidhaa yako inakua na faida gani kuweka barcode? Na hiyo barcode inawekwaje na gharama zake zikoje?
kumbe unajibu swali wakati huo unauliza swali.ok barcode inausika na kujua bidhaa.


swissme
 
Maelezo mzuri sana mkuu.
Mkuu,
Asante kwa appreciation yako, wana taaluma wanahitataji kujibu, kusolve na kushauri hii ndio kujenga.
Sasa tazama kuna ignorant Fulani sijui kachangia nini na itamsaidia nini alieuliza ni sawa mguu no 9 unauvika no4.
Kwa nini watu wengine hawanyamazi tu na kukubali kuwa hawajui? Kuliko kuchangia utumbo?
 
Samahan kaka mkubwa na kwa mtu anaehitaji kupata alama ya shirika la viwango tbs kwenye bidhaa yake anafanyeje..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…