Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MkuutlHabari wadau .. Eti bidhaa yako inakua na faida gani kuweka barcode? Na hiyo barcode inawekwaje na gharama zake zikoje?
Maelezo mzuri sana mkuu.Mkuutl
Barcode ni uthibiti na utambulisho wa bidhaa yako sawa sawa kuwa na Namba ya usajili katika gari yako.
Inakupa hadhi katika masoko ya bidhaa kwamba bidhaa inamilikiwa na mwenyewe na si bidhaa ya uchochoroni lakini usiichukulie Barcode kama ni kiwango cha bidhaa yako, TFDA na TBS ndio wanahusika na uthibitishaji wa viwango.
Barcode unalazimika kuwa na jina la usajili...BRELA, hivyo uwe na Certificate of Registration, Lesni ya biashara ya hiyo biashara na Tin.
Ukikamilisha vitu hivyo Office husika iko mikocheni light industrial block piga simu 0713 66 6616..Pius atakusaidia. Gharama....usajili na malipo ya mwaka ni kitu kama 250,000/=
Mheshimiwa umetafuta msaada hakuna sababu ya kukunyima msaada ikiwa ni jambo watu wanajua na ni la maendeleo.
Don't misuse that opportunity abide yourself with rules and regulations to some peoples offices.
Sikujui hunijui lakini kusaidiana ni wajibu ili mradi usiende kuharibu huko. Siku moja tutafahamiana tu iwe kwa wema, heshima na taadhima.
OK all the best.
kumbe unajibu swali wakati huo unauliza swali.ok barcode inausika na kujua bidhaa.Habari wadau .. Eti bidhaa yako inakua na faida gani kuweka barcode? Na hiyo barcode inawekwaje na gharama zake zikoje?
Mkuu,Maelezo mzuri sana mkuu.
Samahan kaka mkubwa na kwa mtu anaehitaji kupata alama ya shirika la viwango tbs kwenye bidhaa yake anafanyeje..Mkuutl