Bar ya Board Room inaungua

Bar ya Board Room inaungua

Tatizo lipo sehemu moja, bar na jiko hawezi kaa sehemu moja na sisi bongo tunalazimisha kufanya vyote kwa wakati mmoja.

Yapaswa sasa tuje na mfumo wa bar kama bar toka kwenu umeshiba njoo bar tunywe bia.

Pole sana kwa team ya boardroom maana ndio walikua wamewekeza pesa zao upya baada ya ufungaji wa awali.
 
Rock City Iliungua Mwezi Uliopita Sasa Dar Es Salaam
 
Nimemkumbuka marehem mjomba angu gafla.
 
 
Boardroom ni Bar ya shoga mmoja anaitwa ABDUEL
Da kaka hili jambo ni zito sana kwann unamtuhumu mtu ushoga wakati ni mwanaune mwenzio. Tukutane mahakamani kwa hili lazima ukadhibitishie mahakamani huwezi kumchafua ndugu yangu hivi . Nakuahidi
 
Back
Top Bottom