Wadau habari,
Hii bar ina jina zuri sana la kuhanikiza jitihada za raisi wetu mpendwa Dar Samia katika suala la utalii ila ina hudumqa za hovyo sana, nyakati za usiku haswa jumatatu meneja huwa hayupo, pili wahudumu ni wakorofi sana isipokuwa kaunta wao,
Juzi nimepigwa na kiti na muhudumu ile kumuambia tu, akasema kama umeumia pole kama bado acha uchawa, mpaka wahudumu wenzake wakamsema sana mbele yake, ile kuuliza muhudumu meneja yupo wapi? Nikaambiwa hayupo, mwingine akasema kaka hii bar wahudumu wana nguvu kuliko mwenye baa, nikauliza kwanini, nikaambiwa wahudumu wote mboga ya meneja. Hili suala sio afya kwa bar kubwa kama hii iringa mjini.
Ombi, mmiliki wa bar hii akae naeneja wale, inaonekana meneja anakula kondoo wake, manake kuna siku saa 9 usiku naambiwa meneja katoka na mhudumu.
Tunaipenda hii bar ila mmiliki aipange upya sivyo atabaki yeye na wahudumu tu.