Bar ya Royal tour Iringa mjini

Bar ya Royal tour Iringa mjini

Wadau habari,

Hii bar ina jina zuri sana la kuhanikiza jitihada za raisi wetu mpendwa Dar Samia katika suala la utalii ila ina hudumqa za hovyo sana, nyakati za usiku haswa jumatatu meneja huwa hayupo, pili wahudumu ni wakorofi sana isipokuwa kaunta wao,

Juzi nimepigwa na kiti na muhudumu ile kumuambia tu, akasema kama umeumia pole kama bado acha uchawa, mpaka wahudumu wenzake wakamsema sana mbele yake, ile kuuliza muhudumu meneja yupo wapi? Nikaambiwa hayupo, mwingine akasema kaka hii bar wahudumu wana nguvu kuliko mwenye baa, nikauliza kwanini, nikaambiwa wahudumu wote mboga ya meneja. Hili suala sio afya kwa bar kubwa kama hii iringa mjini.

Ombi, mmiliki wa bar hii akae naeneja wale, inaonekana meneja anakula kondoo wake, manake kuna siku saa 9 usiku naambiwa meneja katoka na mhudumu.

Tunaipenda hii bar ila mmiliki aipange upya sivyo atabaki yeye na wahudumu tu.
Hakuna manager wa bar kuna. Kuna msimamizi wa bar ambae huitwa manager. Acha kuwa dunisha wasomi.
 
Wadau habari,

Hii bar ina jina zuri sana la kuhanikiza jitihada za raisi wetu mpendwa Dar Samia katika suala la utalii ila ina hudumqa za hovyo sana, nyakati za usiku haswa jumatatu meneja huwa hayupo, pili wahudumu ni wakorofi sana isipokuwa kaunta wao,

Juzi nimepigwa na kiti na muhudumu ile kumuambia tu, akasema kama umeumia pole kama bado acha uchawa, mpaka wahudumu wenzake wakamsema sana mbele yake, ile kuuliza muhudumu meneja yupo wapi? Nikaambiwa hayupo, mwingine akasema kaka hii bar wahudumu wana nguvu kuliko mwenye baa, nikauliza kwanini, nikaambiwa wahudumu wote mboga ya meneja. Hili suala sio afya kwa bar kubwa kama hii iringa mjini.

Ombi, mmiliki wa bar hii akae naeneja wale, inaonekana meneja anakula kondoo wake, manake kuna siku saa 9 usiku naambiwa meneja katoka na mhudumu.

Tunaipenda hii bar ila mmiliki aipange upya sivyo atabaki yeye na wahudumu tu.
Is this forum still of great thinkers anymore? , Kwa mtazamo na uchambuzi wa kile kilicholalamikiwa inaonekana una mgongano wa maslahi na Meneja wa watu. Mambo mengine ni aibu na wala siyo ya kuleta kwenye mtandao wenye hadhi yake kama huu. Kwa mteja makini wa Bar unapigwa na kiti na muhudumu bado upo tu.
 
Wewe kama utaacha kwenda ni wewe ila mimi nitaendelea kwenda maana huduma zao sio mbaya na dada zangu wa hapa hawana baya na jinsia me , wewe kuna mahali ulijichanganya hasa kwenye ukuwadi maana hawapendi kukuwadiwa ila wanapenda mwanaume anayejiamini
 
Back
Top Bottom