Bar ya Royal tour Iringa mjini

Bar ya Royal tour Iringa mjini

halfcastmangi

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2023
Posts
605
Reaction score
1,644
Wadau habari,

Hii bar ina jina zuri sana la kuhanikiza jitihada za raisi wetu mpendwa Dar Samia katika suala la utalii ila ina hudumqa za hovyo sana, nyakati za usiku haswa jumatatu meneja huwa hayupo, pili wahudumu ni wakorofi sana isipokuwa kaunta wao,

Juzi nimepigwa na kiti na muhudumu ile kumuambia tu, akasema kama umeumia pole kama bado acha uchawa, mpaka wahudumu wenzake wakamsema sana mbele yake, ile kuuliza muhudumu meneja yupo wapi? Nikaambiwa hayupo, mwingine akasema kaka hii bar wahudumu wana nguvu kuliko mwenye baa, nikauliza kwanini, nikaambiwa wahudumu wote mboga ya meneja. Hili suala sio afya kwa bar kubwa kama hii iringa mjini.

Ombi, mmiliki wa bar hii akae naeneja wale, inaonekana meneja anakula kondoo wake, manake kuna siku saa 9 usiku naambiwa meneja katoka na mhudumu.

Tunaipenda hii bar ila mmiliki aipange upya sivyo atabaki yeye na wahudumu tu.
 
Mpaka Sasa uko hapo bar? Inaonekana uko tungi. Yaani muhudumu akupige na kiti alafu na matusi juu unamuangalia. I see hayo mabanzi angekula sio ya nchi hii.

Kwahiyo wewe chawa wa bosi? Au wa nani?
 
Wadau habari,

Hii bar ina jina zuri sana la kuhanikiza jitihada za raisi wetu mpendwa Dar Samia katika suala la utalii ila ina hudumqa za hovyo sana, nyakati za usiku haswa jumatatu meneja huwa hayupo, pili wahudumu ni wakorofi sana isipokuwa kaunta wao,

juzi nimepigwa na kiti na muhudumu ile kumuambia tu, akasema kama umeumia pole kama bado acha uchawa, mpaka wahudumu wenzake wakamsema sana mbele yake, ile kuuliza muhudumu meneja yupo wapi? Nikaambiwa hayupo, mwingine akasema kaka hii bar wahudumu wana nguvu kuliko mwenye baa, nikauliza kwanini, nikaambiwa wahudumu wote mboga ya meneja. Hili suala sio afya kwa bar kubwa kama hii iringa mjini.

Ombi, mmiliki wa bar hii akae naeneja wale, inaonekana meneja anakula kondoo wake, manake kuna siku saa 9 usiku naambiwa meneja katoka na mhudumu.

Tunaipenda hii bar ila mmiliki aipange upya sivyo atabaki yeye na wahudumu tu.
Kwa ulichokiandika utaendelea kupigwa, wewe wachezee tu mabinti wa kihehe utajua Iringa siyo Dar.
 
Wadau habari,

Hii bar ina jina zuri sana la kuhanikiza jitihada za raisi wetu mpendwa Dar Samia katika suala la utalii ila ina hudumqa za hovyo sana, nyakati za usiku haswa jumatatu meneja huwa hayupo, pili wahudumu ni wakorofi sana isipokuwa kaunta wao,

Juzi nimepigwa na kiti na muhudumu ile kumuambia tu, akasema kama umeumia pole kama bado acha uchawa, mpaka wahudumu wenzake wakamsema sana mbele yake, ile kuuliza muhudumu meneja yupo wapi? Nikaambiwa hayupo, mwingine akasema kaka hii bar wahudumu wana nguvu kuliko mwenye baa, nikauliza kwanini, nikaambiwa wahudumu wote mboga ya meneja. Hili suala sio afya kwa bar kubwa kama hii iringa mjini.

Ombi, mmiliki wa bar hii akae naeneja wale, inaonekana meneja anakula kondoo wake, manake kuna siku saa 9 usiku naambiwa meneja katoka na mhudumu.

Tunaipenda hii bar ila mmiliki aipange upya sivyo atabaki yeye na wahudumu tu.
Tatizo ni huo muda mnaohudumiana.Huwa unakuwa mtu kweli au unabakia kuwa kiumbe tu?Kwa nini muda mwingine wawe sawa ila ikifika saa tisa na mambelembele wawe wakorofi?Je,ni uchovu,usumbufu wa walevi au mashindano ya misuli minene tu?
 
Kuna binti anakula tutu hiyo mitaa siyo poa.Nikitia pua ana mimi.Ndiyo mwanzo wa kumiliki goma la chimbo gumu.
 
Wadau habari,

Hii bar ina jina zuri sana la kuhanikiza jitihada za raisi wetu mpendwa Dar Samia katika suala la utalii ila ina hudumqa za hovyo sana, nyakati za usiku haswa jumatatu meneja huwa hayupo, pili wahudumu ni wakorofi sana isipokuwa kaunta wao,

Juzi nimepigwa na kiti na muhudumu ile kumuambia tu, akasema kama umeumia pole kama bado acha uchawa, mpaka wahudumu wenzake wakamsema sana mbele yake, ile kuuliza muhudumu meneja yupo wapi? Nikaambiwa hayupo, mwingine akasema kaka hii bar wahudumu wana nguvu kuliko mwenye baa, nikauliza kwanini, nikaambiwa wahudumu wote mboga ya meneja. Hili suala sio afya kwa bar kubwa kama hii iringa mjini.

Ombi, mmiliki wa bar hii akae naeneja wale, inaonekana meneja anakula kondoo wake, manake kuna siku saa 9 usiku naambiwa meneja katoka na mhudumu.

Tunaipenda hii bar ila mmiliki aipange upya sivyo atabaki yeye na wahudumu tu.
Walevi wengine hamnazo, yaani mnagombea barmaid kweli? Hadi unapigwa na kiti upo tuu unatafuta meneja! Iringa mabaa mazuri yamejaa kwanini usiende huko badala ya kuja humu jf?
 
Ungesogea hapo Miami uendelee kula beer Mkuu, maisha haya hayahitaji stress 🤗
 
Malaya wa bar mara nyingi huwa sio wa mkoa husika wanatoka mikoa tofauti tofauti na huwa hawadumu miezi sita bar moja
Watakapokupiga ndipo utawajua kama ni malaya au wahudumu, mtu kalala baridi wewe unamletea za kuletwa, Iringa siyo Dar shauriyako.
 
Wadau habari,

Hii bar ina jina zuri sana la kuhanikiza jitihada za raisi wetu mpendwa Dar Samia katika suala la utalii ila ina hudumqa za hovyo sana, nyakati za usiku haswa jumatatu meneja huwa hayupo, pili wahudumu ni wakorofi sana isipokuwa kaunta wao,

Juzi nimepigwa na kiti na muhudumu ile kumuambia tu, akasema kama umeumia pole kama bado acha uchawa, mpaka wahudumu wenzake wakamsema sana mbele yake, ile kuuliza muhudumu meneja yupo wapi? Nikaambiwa hayupo, mwingine akasema kaka hii bar wahudumu wana nguvu kuliko mwenye baa, nikauliza kwanini, nikaambiwa wahudumu wote mboga ya meneja. Hili suala sio afya kwa bar kubwa kama hii iringa mjini.

Ombi, mmiliki wa bar hii akae naeneja wale, inaonekana meneja anakula kondoo wake, manake kuna siku saa 9 usiku naambiwa meneja katoka na mhudumu.

Tunaipenda hii bar ila mmiliki aipange upya sivyo atabaki yeye na wahudumu tu.
Wakati wa makuzi yangu ili kuwa ni marufuku kurudi kushitaki nyumbani kuwa nimepigwa, kauli zilizokubalika ni kuwa nimepigana, nimepiga ivo yaani kauli zisizo za kinyonge. Katika nyakati hizi ndo natambua kwa nn nilikuwa naelezwa hvyo!!
 
Wadau habari,

Hii bar ina jina zuri sana la kuhanikiza jitihada za raisi wetu mpendwa Dar Samia katika suala la utalii ila ina hudumqa za hovyo sana, nyakati za usiku haswa jumatatu meneja huwa hayupo, pili wahudumu ni wakorofi sana isipokuwa kaunta wao,

Juzi nimepigwa na kiti na muhudumu ile kumuambia tu, akasema kama umeumia pole kama bado acha uchawa, mpaka wahudumu wenzake wakamsema sana mbele yake, ile kuuliza muhudumu meneja yupo wapi? Nikaambiwa hayupo, mwingine akasema kaka hii bar wahudumu wana nguvu kuliko mwenye baa, nikauliza kwanini, nikaambiwa wahudumu wote mboga ya meneja. Hili suala sio afya kwa bar kubwa kama hii iringa mjini.

Ombi, mmiliki wa bar hii akae naeneja wale, inaonekana meneja anakula kondoo wake, manake kuna siku saa 9 usiku naambiwa meneja katoka na mhudumu.

Tunaipenda hii bar ila mmiliki aipange upya sivyo atabaki yeye na wahudumu tu.
Mangi vipi tena !?
Mmetumwa mjini kutafuta hela..wewe unakimbizana na mbususu 😅
 
Back
Top Bottom