Dah.. Bora umewahi ku edit.Nyama inachomwa Arusha. Dar tunakula uchafu tu
Kwa hiyo achukue ungo wa kichawi aje arusha au....Nyama inachomwa Arusha. Dar tunakula uchafu tu
So be it!Kwa hiyo achukue ungo wa kichawi aje arusha au....
Nyama ya mbwa ile,tamu sana.Nimeona umetaja Manzese hapo. Kumbuka Manzese kuna sehemu kuna nyama choma ya buku 2 humalizi
Wanaume wa dar...Nimeona umetaja Manzese hapo. Kumbuka Manzese kuna sehemu kuna nyama choma ya buku 2 humalizi
Eti?
Hapo napakubali sana
Nenda Rose garden iko karibu na chuo cha ttcl cha zamani au karibu na gereji ya magari ya wachina inayoitwa Spring city pale unapata kila kitu utakachohitaji baada ya moja baridi moja moto.Wakuu, Husikeni na somo tajwa hapo juu.
Naona kuelekezwa ama jina la Bar yenye nyama choma na muziki mzuri maeneo ya kuanzia Shekilango kwenda kule Kariakoo (Eneo lolote la Magomeni ama Sinza, Manzese.
Nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Iko Kijitonyama maji machafu barabara ya kwenda kota za TPDC few metres from milleneum tower au ofisi za science and technology.
Nyap zipo ? Mimi sitaki wale wa kupotezeana muda kutongozana na kupeana namba za simu. Nataka kama fundi kinyozi. Unatoa pesa unanyolewa. Sio fundi wa kushona nguo. Kila siku njoo keshoNenda Rose garden iko karibu na chuo cha ttcl cha zamani au karibu na gereji ya magari ya wachina inayoitwa Spring city pale unapata kila kitu utakachohitaji baada ya moja baridi moja moto.