Bar za Babati na Limbwata la pombe: Njoo ushuhudie!

Bar za Babati na Limbwata la pombe: Njoo ushuhudie!

Wanapenda Sana Ushirika Jamii Hiyo Wala Si Uwongo Mi Mwenyewe Nina Hakika Na Alichosema Mleta Mada.
 
ah! hiyo chamtoto mkuu.
ipo kitu inaitwa (heha). ni nouma ukienda baa iliyochimbiwa koromeo la fisi ni noma. ukiwa ofcn koo kama linakereketa ivi. mwenyewe utajikuta unatafuta upenyo uende chap ukatoe lock.
dawa yake ni kuhama mkoa. ikishindikana nipm nikuambie chakufanya.
 
Inaweza kuwa kweli nakumbuka kipindi cha nyuma kulikuwa na Askari jina la utani ninja ila kilichokuja mtokea!!God knows
 
Nazuri babati mara kwa mara...
Jambo hilo nilishalisikia si mara moja!
 
Back
Top Bottom