ah! hiyo chamtoto mkuu.
ipo kitu inaitwa (heha). ni nouma ukienda baa iliyochimbiwa koromeo la fisi ni noma. ukiwa ofcn koo kama linakereketa ivi. mwenyewe utajikuta unatafuta upenyo uende chap ukatoe lock.
dawa yake ni kuhama mkoa. ikishindikana nipm nikuambie chakufanya.