Hebu achene akina mama wa watu wapumzike! hivi ni kwanini mnapenda kuwatukanisha wazee wetu ambao hata hawapo JF?Nimelala na mama yako leo
hivi nyie wanafisiem kwanini mnakuwa na roho za ichawi ivo ulitaka wakajae kwa mama yako?
Dah..... Tit4tat ya maGT.... Hebu achaneni na hao kina mama wasio na hatia wapumzike... Ujinga mfanye nyie halafu mnawataja wasiohusika[emoji35] [emoji35]Nimelala na mama yako leo
Dah... Mama zetu wanaume tabu kwelikweliHebu achene akina mama watu wapumzike! hivi ni kwanini mnapenda kuwatukanisha wazee wetu ambao hata hawapo JF?
Ongezea pia hawana maendeleo zaidi ya unafiki.Watu ambao hamtumii pombe [baadhi] ndio mnaongoza kwa kuwa na chuki pamoja na roho mbaya.
Sure! and they're very unfriendly.Ongezea pia hawana maendeleo zaidi ya unafiki.
NotedSure! and they're very unfriendly.
kuna nyingine ipo tabata kinyerezi pale inaitwa new makirikiri isee ni balaa,gari zimejaa msururu na hakuna gari ya kichovu, basi watu walivyo na mbwembwe unaona anajidai amesahau powerbank anampa barmaid mzuuuur funguo za gari anamtuma hebu nenda kwenye gari pale T654 DDD Prado new model chek siti ya nyuma kuna powerbank uniletee,HAPO UJUE AKICHOMOKA ANACHOMOKA NA HUYO MTOTO.Tabata kuna bar mpya zimefunguliwa mfano The great Park, 40 by 40, kwetu pazuri, kwa kweli zinajaza sana watu.
Ukitembelea hizi bar alafu ukasikia mtu analalamika hela imepotea mfukoni hautamwamini kamwe.
Watu wanapiga mitungi kama kawa mpaka majogoo.
mmmhhivi nyie wanafisiem kwanini mnakuwa na roho za ichawi ivo ulitaka wakajae kwa mama yako?
consumerism= spendthrift?Uchumi wa marekani uko juu kwasababu ya consumerism,
kadri unavyofakamia kwa kasi ndo pia unachangamsha uzalishaji zaidi na hivyo ajira zaidi,
kama watu wanajaa sana pale,ina maana bia zitanyweka sana ,mishikaki italika sana,kuku watatafunwa sana etc,
hapo umeongeza ajira kwa muuza mkaa,muuza nyanya,karoti,kitunguu,chumvi na kabichi,
mafuta ya kula,
umeongeza ajira kwa wakulima wa vitu hivyo na wabeba mizigo wanaoushusha bia,viwanda vya bia vinaongeza uzalishaji,watu wanapata ajira na kupeleka watoto shule,mwenye shule nae amepata kipato tokana na kodi hiyo,
changudoa nae kapata ajira na pesa analipa pango ,analipa ada za watoto na anatuma hela za kulimia kijijini etc.
Kama sizonje hajui hili mumueleweshe
Mtanyooka tuMme mjibu vizuri.. . .
Naamini hata waliokua na mawazo ya kupost hoja za namna hii watajitafakari mara mbili.
Nadhani ni mtu Kama wewe unatamani watu wote watembee kwa miguu,
Wale mlo mmoja.
Sa sijui wengine wasipo jifurahisha wewe unafaidika nini?
Roho mbaya tu na wivu wa kipuuzi
Nashindwa kuelewa nikuweke kwenye kundi la wenye wivu ama fungu la kukosa? Sasa akibana zaidi hizi bar zikafungwa hao TBL pesa za kulipa kodi na mishahara ya watendaji wao zitatoka wapi?Tabata kuna bar mpya zimefunguliwa mfano The great Park, 40 by 40, kwetu pazuri, kwa kweli zinajaza sana watu.
Ukitembelea hizi bar alafu ukasikia mtu analalamika hela imepotea mfukoni hautamwamini kamwe.
Watu wanapiga mitungi kama kawa mpaka majogoo.