Ok nimeipata, karibu na Clinic ya AAR Hakika bar za TBT zinajaza, kule kuna KB, 40-40 ni balaa. Huwa napendelea kuangaza macho yangu tu nione mabinti walivyojiweka, huku pembeni na barabarani kumejaa wale walioamua kutumia miili yao kama kitega uchumi...daah!!Hiyo itakuwa STK
The Great Park ipo Tabata Baracuda
Ni kweli, awaache wenye pesa za kutumia watumie tu coz serikali inafaidika watu wakiwa na purchasing power, tukishindwa kununua bidhaa za muhimu na za 'anasa' hata serikali inaumia kiaina.Sema sina hela sio hatuna hela.
Bila kusahau MikasaTabata kuna bar mpya zimefunguliwa mfano The great Park, 40 by 40, kwetu pazuri, kwa kweli zinajaza sana watu.
Ukitembelea hizi bar alafu ukasikia mtu analalamika hela imepotea mfukoni hautamwamini kamwe.
Watu wanapiga mitungi kama kawa mpaka majogoo.
Shuka kituo cha barakuda mziki wenyewe utakuita, au kona ya kuelekea vigunguti upande wa kulia kama unatokea segerea.Kiongozi, The Great Park ipo sehemu gani? Juzi jmosi usiku nimepita Kinyerezi karibu na njia panda ya majumba sita kuna bar moja ilikuwa imejaa hatari. Kulikuwa na utitiri wa watu wanaburudika, huku wale "warembo wetu" wakiwa tayari kutoa huduma, sijui ile bar inaitwaje!!
Nini sababu ya kuacha?Nimeacha tungi najiona fala sasa.nina wivu wa kijinga jinga tuu kama mtoa post
ile ni the great park mkuuMkuu hivi ile bar ya pale tabata barakuda kwa juu kidogo inaitwaje? mana nilipita jumapili nilishangaa ilivyojaa hadi parking inasumbuaga na pale kwetu pazuri nilipita asubuhi ya saa kumi na mbili nikaona watu wengi sijui wanakeshaga pale.
Kwetu pazuri hatari sana!Tabata kuna bar mpya zimefunguliwa mfano The great Park, 40 by 40, kwetu pazuri, kwa kweli zinajaza sana watu.
Ukitembelea hizi bar alafu ukasikia mtu analalamika hela imepotea mfukoni hautamwamini kamwe.
Watu wanapiga mitungi kama kawa mpaka majogoo.
Kama kuna sheria wamevunja basi wachukuliwe hatua, vinginevyo waachwe watumie pesa yao ili hata wewe ikusaidie kutawalika. Si unajua kodi inalipia mpaka mshahara wa Rais na ma RC.Tabata kuna bar mpya zimefunguliwa mfano The great Park, 40 by 40, kwetu pazuri, kwa kweli zinajaza sana watu.
Ukitembelea hizi bar alafu ukasikia mtu analalamika hela imepotea mfukoni hautamwamini kamwe.
Watu wanapiga mitungi kama kawa mpaka majogoo.
Mkuuu fanya kazi huo ni ushamba mno!! Kwani wewe ina kuathiri nini??Tabata kuna bar mpya zimefunguliwa mfano The great Park, 40 by 40, kwetu pazuri, kwa kweli zinajaza sana watu.
Ukitembelea hizi bar alafu ukasikia mtu analalamika hela imepotea mfukoni hautamwamini kamwe.
Watu wanapiga mitungi kama kawa mpaka majogoo.