Bar za Tabata zinajaa sana, Magufuli endelea kukaza

Bar za Tabata zinajaa sana, Magufuli endelea kukaza

Shida yako ni kuona bar hazijai..?? Zisipojaa unajua athari yake kiuchumi..?

"Ni ngumu sana nchi kuendelea iwapo viongozi na wananchi wataendelea kuwa na poverty mentality kama yako"
 
Hiyo itakuwa STK
The Great Park ipo Tabata Baracuda
Ok nimeipata, karibu na Clinic ya AAR Hakika bar za TBT zinajaza, kule kuna KB, 40-40 ni balaa. Huwa napendelea kuangaza macho yangu tu nione mabinti walivyojiweka, huku pembeni na barabarani kumejaa wale walioamua kutumia miili yao kama kitega uchumi...daah!!
 
Sema sina hela sio hatuna hela.
Ni kweli, awaache wenye pesa za kutumia watumie tu coz serikali inafaidika watu wakiwa na purchasing power, tukishindwa kununua bidhaa za muhimu na za 'anasa' hata serikali inaumia kiaina.
 
Tabata kuna bar mpya zimefunguliwa mfano The great Park, 40 by 40, kwetu pazuri, kwa kweli zinajaza sana watu.

Ukitembelea hizi bar alafu ukasikia mtu analalamika hela imepotea mfukoni hautamwamini kamwe.

Watu wanapiga mitungi kama kawa mpaka majogoo.
Bila kusahau Mikasa
 
Mleta mada umaskini, njaa na akili mgando vinakusumbua pitia 40/40 uje upige monde bure.
 
We mtoa mada unakichaa unataka wote tuwe maskini kama wewe makufuli hata akazae vipi kama unaela unayo tu na kama hauna hauna tu
 
Kiongozi, The Great Park ipo sehemu gani? Juzi jmosi usiku nimepita Kinyerezi karibu na njia panda ya majumba sita kuna bar moja ilikuwa imejaa hatari. Kulikuwa na utitiri wa watu wanaburudika, huku wale "warembo wetu" wakiwa tayari kutoa huduma, sijui ile bar inaitwaje!!
Shuka kituo cha barakuda mziki wenyewe utakuita, au kona ya kuelekea vigunguti upande wa kulia kama unatokea segerea.
 
Nilicho pewa na Mungu wewe na Magufuli wako hamuwezi kukichukuwa kamwe....kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake
 
Mkuu hivi ile bar ya pale tabata barakuda kwa juu kidogo inaitwaje? mana nilipita jumapili nilishangaa ilivyojaa hadi parking inasumbuaga na pale kwetu pazuri nilipita asubuhi ya saa kumi na mbili nikaona watu wengi sijui wanakeshaga pale.
ile ni the great park mkuu
 
Kwa hali hii maana yake Magufuli ameboresha maisha ya watanzania
 
Tabata kuna bar mpya zimefunguliwa mfano The great Park, 40 by 40, kwetu pazuri, kwa kweli zinajaza sana watu.

Ukitembelea hizi bar alafu ukasikia mtu analalamika hela imepotea mfukoni hautamwamini kamwe.

Watu wanapiga mitungi kama kawa mpaka majogoo.
Kwetu pazuri hatari sana!

Viwanja vyangu hivyo.
 
Tabata kuna bar mpya zimefunguliwa mfano The great Park, 40 by 40, kwetu pazuri, kwa kweli zinajaza sana watu.

Ukitembelea hizi bar alafu ukasikia mtu analalamika hela imepotea mfukoni hautamwamini kamwe.

Watu wanapiga mitungi kama kawa mpaka majogoo.
Kama kuna sheria wamevunja basi wachukuliwe hatua, vinginevyo waachwe watumie pesa yao ili hata wewe ikusaidie kutawalika. Si unajua kodi inalipia mpaka mshahara wa Rais na ma RC.
 
40/40, great park, micasa, KP, STK (mbuyuni), BL Park (kinyerezi) ndio vijiwe vinavyobamba huko tabata...Waache wadau waburudike jamani wanasaka ujira kwa shida na raha!!!Siku za kawaida kuna watu ila kwa kipimo....wikendi ndio balaa!!!Uzuri wanapozidi kutumia ndio wanachangia pato la nchi na kudumisha ajira.
 
Tabata kuna bar mpya zimefunguliwa mfano The great Park, 40 by 40, kwetu pazuri, kwa kweli zinajaza sana watu.

Ukitembelea hizi bar alafu ukasikia mtu analalamika hela imepotea mfukoni hautamwamini kamwe.

Watu wanapiga mitungi kama kawa mpaka majogoo.
Mkuuu fanya kazi huo ni ushamba mno!! Kwani wewe ina kuathiri nini??
 
Back
Top Bottom