Bar za Tabata zinajaa sana, Magufuli endelea kukaza

Bar za Tabata zinajaa sana, Magufuli endelea kukaza

Na kwenye hizo bar, Wanywa Safari (hasa Kubwa) tunadharaulika kweli kweli, sababu kuna vijana wanaagiza ma-heineken kwa ma-windhoek kwa mwendo wa packs tU.

Lakini siungi mkono upuuzi huo wa kusema aendelee kukaza hadi zifungwe.
 
Me naona bora akaze zaid ili watu wawe na akili wasijejutia kura zao 2020
 
Mkuu unataka kabisa watu tusionane hata counter! Haitotokea labda tuwe kama Syria!
 
Kwahiyo kama watu wanatumbua majasho yao wewe unaona tabu au?

Fata mambo yako
 
Na Sinza tunataka kona bar yetu irudi.. Bia za pale ndo tamu
Hii utasubiri sana, hivi nini kinaendelea pale? Maana biashara yote ya Sinza sasa imehamia Tabata, Sinza inadidimia huku Tabata ikiibuka kwa kasi, Tabata oyeee..!
 
Ndiyo maana nchi hii haiendelei kwasbb ya watu kuwa na akili ndogo km za sizonje.
Acha roho mbaya ww. Km hauna pesa nenda Mombasa
 
Hii mitoto ya Bashite Bashite bhana sasa we kinakuuma nini wenzio kupiga vyombo??
 
Ndiyo maana nchi hii haiendelei kwasbb ya watu kuwa na akili ndogo km za sizonje.
Acha roho mbaya ww. Km hauna pesa nenda Mombasa
Si mnalalamika hela hamna mfukoni??
 
Back
Top Bottom