Bar za Tabata zinajaa sana, Magufuli endelea kukaza

Bar za Tabata zinajaa sana, Magufuli endelea kukaza

Tabata kuna bar mpya zimefunguliwa mfano The great Park, 40 by 40, kwetu pazuri, kwa kweli zinajaza sana watu.

Ukitembelea hizi bar alafu ukasikia mtu analalamika hela imepotea mfukoni hautamwamini kamwe.

Watu wanapiga mitungi kama kawa mpaka majogoo.
38554977.jpg
 
Karibu sana tabata mawenz hapa kuna bar mpya nayo inawow sana, pia kuna highbury kings, na camp kama hutumii vileo unywe japo maji
 
Back
Top Bottom