Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Jiwe naona kapanga mtu wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba ateuliwe Mbarawa. ili hasira zisababishe kura nyingi kwa Seif Maalim
Tena ni vizuri wakimsimamisha Mbarawa. Tayari Ccm watakuwa na uhakika wa kupat kura Pemba maana zitagawanyika kwa Maalim na Mbarawa. Lakini wakimuweka Mwinyi au Nahodha Ccm wasahau kura za Pemba.. Hivyo ita poteza wawakilishi na wabunge kwa vile watampigia Maalim.Hatuwezi kukubali Zanzibar iende kwa waarabu
Uongo huo.Uchaguzi kwa watu toka Zanzibar haujawahi kuwa baridi kwenye kamati za ccm.
Wazanzibari wana mtandao waliwahi kumtisha mpaka baba wa Taifa
Nyerere.
Nyerere alimpenda na kumuamini sana Salim Ahmed Salim,
Watu walifunga safari mpaka dodoma na kumwambia mzee huyo ni hizbu,hajawahi kuwa na kadi ya ASP,Ukimpitisha kadi zako hizo hapo baba wa Taifa na umahiri wake alilegea
Umekusudia kusema wewe ni mdanganyika! Tanzania hakuna mtanzania bara, kuna watanzania, wazanzibari na wadanganyika tu!
sawa nitakuita asses kisserMimi ndiye Mtawala wa Zanzibar. Unaweza niita majina mengi upendayo.
Hussein Mwinyi ana dharau sana. Ikitokea kafiri huyu kwa namna yoyote ile ameshinda urais wa Zanzibar, nitakuwa tayari kumuhujumu.
Pia ni uzwazwa baba na mwana wote kuwa marais, kwani watu wengine hawapo?
Ikiwa CCM haina mbadala wa Dk Mwinyi basi ni kheri Maalim achukue kijiti.
Allah Akbar!
Duh! Katika hayo majina matano ambapo mawili yatakatwa, moja litakuwa la Mbarawa au Mwinyi.. Akikatwa Mbarawa basi Mwinyi ndiye atakaye kuwa Rais wa Zbar.. Akikatwa Mwinyi bac Mbarawa ndiye atakayekuwa Rais wa Zbar.
Sasa katiba ya Zanzibar ina mkata Mwinyi kwenye kinyanganyiro. Mwinyi hakuzaliwa Zanzibar kazaliwa Bara. Ameanza kwenda Zanzibar baada ya baba yake kuwa rais. Kama una kumbukumbu ubunge wake wa kwanza aliupatia Bara. Katiba ya Zanzibar ina hitaji uwe umezaliwa Zanzibar.
Sisi tuna kwenda na Prof. Mbarawa na Khamis Mussa Omar.
Muulizeni Mwinyi kwanini ana ficha alizaliwa wapi? Ana andika kazaliwa Tanzania. Hata kule Marangu ni Tanzania. Aonyeshe ID yake ya Taifa. Pia kati ya 2000 na 2005 alikuwa naibu waziri kwanini haonyeshi alikuwa mbunge wa jimbo pia? Na alitokea jimbo gani?
Kama ana anza kudanganya sasa hivi je mkimpa urais si atatuuza huyu?