Zanzibar 2020 Bara hatuwezi mweka Rais Zanzibar ambaye hatumfahamu vizuri. Tutamweka Mwinyi

Naomba ateuliwe Mbarawa. ili hasira zisababishe kura nyingi kwa Seif Maalim

Kosa kubwa walilofanya upande wa upinzani ni kumchagua Seif Sharif kama mgombea urais. Seif sharif hapati kwamwe urais wa visiwani zanzibar hadi siku ya mwisho wa dunia! Yeyote yule angelikuwa na chance lakini seifu hata ashinde asilimia 100, hawezi kuwa rais FACT!
 
Hatuwezi kukubali Zanzibar iende kwa waarabu
Tena ni vizuri wakimsimamisha Mbarawa. Tayari Ccm watakuwa na uhakika wa kupat kura Pemba maana zitagawanyika kwa Maalim na Mbarawa. Lakini wakimuweka Mwinyi au Nahodha Ccm wasahau kura za Pemba.. Hivyo ita poteza wawakilishi na wabunge kwa vile watampigia Maalim.
 
Rais wa Zanzibar hawajawahi kuamuliwa na wazanzibari kila kitu ni bara tuuuuu.....hapa ndipo nawaona jamaa ni maboya sn...
 
Uongo huo.
 
Umeupata Ujumbe wangu? Nadhani nmeeleweka.


 
nmeeleweka

Duh! Katika hayo majina matano ambapo mawili yatakatwa, moja litakuwa la Mbarawa au Mwinyi.. Akikatwa Mbarawa basi Mwinyi ndiye atakaye kuwa Rais wa Zbar.. Akikatwa Mwinyi bac Mbarawa ndiye atakayekuwa Rais wa Zbar.
 
SISI BARA NDO TUNAWEKA RAIS WA ZANZIBAR HAYO MENGINE HAYATUHUSU.



 
Tunawashukuru Wana ZANZIBAR KWA KUMPOKEA MTU WETU AWE RAIS WENU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…