Bara la Afrika linatoa malighafi gani za maana?

Kila uonacho duniani chenye dhamani imetoka Africa sio chakula au nini ??
 
Kila siku utasikia mabeberu wanatuibia malighafi! Bara letu tajiri sana! Africa kuna malighafi gani na utajiri gani wa maana?
Tunatoa copper cathode huko Congo japokuwa ni nchi ya nne kwa uzalishaji wa copper cathode lakini ndiye mwenye kuzalisha highest grade compared na nchi zingine. Kuna cobalt ambapo congo ni mzalishaji wa 70% ya cobalt inayozalishwa duniani.
Tunatoa na madini mengine, kama zinc, copper, crude oil, diamond nakadhalika. Sisi tunabaki kuwa watoa malighafi kwa sababu tofauti na sehemu zingine za dunia sisi ni wazalishaji wa hayo madini na rasilimali wala hatuziprocess hivyo zinaenda nje wakati wengine wanaziprocess.
Yani ni sawa na wewe uwe na shamba kubwa kweli lakini huna pesa ya kuliendesha lifanye uzalishaji unaotakiwa hivyo watu waanze kupambana kuligawana vipande kwa kukulipa kiduchu na watu hao hao wanaoligombania si kwamba hawana mashamba yao, nao wanayo ila wanayatumia katika uzalishaji pia.
 
Kila siku utasikia mabeberu wanatuibia malighafi! Bara letu tajiri sana! Africa kuna malighafi gani na utajiri gani wa maana?
1. Almasi
Asilimia 80 ya almasi Duniani kote inatoka Africa, Soko la Dunia la Alamasi ilikua na Thamani ya dola Bilioni 90 mwaka 2023 (zaidi ya Trilioni 200 za madafu)

2. Platinum
Africa pia ina kama 80% ya Platinum Duniani soko lake Kidunia ni kama dola Bilioni 7 na upuuzi kama Trilioni 20 za madafu.

3. Cobalt
Zaidi ya Asilimia 70 inatoka Congo na Thamani soko la dunia 2023 ni kama Trilioni 40.

4. Lithium
Africa haina lithium reserve kubwa Duniani ila ipo inachimbwa zaidi Zimbabwe na Congo zaidi ya Trilioni 50 soko la Dunia

5. Copper
Congo na Zambia wana 6% ya copper yote Duniani yenye market value si chini ya Trilioni 400 za madafu.

Ukitoa hayo main kuna Graphite, Nickel, rare Earth Element, Mafuta, Chuma, Zinc etc

Kifupi Asilimia 30 ya Madini yote Duniani yapo Africa,

Hii article ya Aljazeera imeelezea vizuri zaidi kama unataka Maelezo zaidi.

Nchi nyingi zinayo hayo madini. Pia thamani yake ni ndogo sana. Kama laki kwa kilo, wakati dhahabu kilo moja ni zaidi ya 200milioni. Ni muhimu ila thamani yake ndogo. Pengine ndiyo maana nchi nyingi hazichimbi.
unakumbuka maghufuli alivyobadilisha mikataba kwa wawekezaji wa madini

gold royalties akaongeza kutoka 4% mpaka 6%
 
1. Almasi
Asilimia 80 ya almasi Duniani kote inatoka Africa, Soko la Dunia la Alamasi ilikua na Thamani ya dola Bilioni 90 mwaka 2023 (zaidi ya Trilioni 200 za madafu)

2. Platinum
Africa pia ina kama 80% ya Platinum Duniani soko lake Kidunia ni kama dola Bilioni 7 na upuuzi kama Trilioni 20 za madafu.

3. Cobalt
Zaidi ya Asilimia 70 inatoka Congo na Thamani soko la dunia 2023 ni kama Trilioni 40.

4. Lithium
Africa haina lithium reserve kubwa Duniani ila ipo inachimbwa zaidi Zimbabwe na Congo zaidi ya Trilioni 50 soko la Dunia

5. Copper
Congo na Zambia wana 6% ya copper yote Duniani yenye market value si chini ya Trilioni 400 za madafu.

Ukitoa hayo main kuna Graphite, Nickel, rare Earth Element, Mafuta, Chuma, Zinc etc

Kifupi Asilimia 30 ya Madini yote Duniani yapo Africa,

Hii article ya Aljazeera imeelezea vizuri zaidi kama unataka Maelezo zaidi.

Nchi zinazozalisha sana Lithium ni Australia, Chile na China. Almasi utaikuta Russia, Canada. Copper mzalishaji mkubwa ni Chile. Nchi nyingi za Chuma, Graphites, na mafuta mengi kuliko Africa.
 
Sisi wanachukua hivyo vyote si kwasababu ndo wazalishaji tunaoongoza, bali ni wazalishaji ambao hatuna viwanda vya kuprocess hivyo vitu hivyo tunawauzia kama raw materials tu. Hebu fikiria thamani ya madini ya kutengeneza betri za EVs na thamani ya betri lenyewe la EV likiharibika, ni sawa na mbigu na ardhi.
 
Nchi zinazozalisha sana Lithium ni Australia, Chile na China. Almasi utaikuta Russia, Canada. Copper mzalishaji mkubwa ni Chile. Nchi nyingi za Chuma, Graphites, na mafuta mengi kuliko Africa.
Asilimia 80 ya Almasi inatoka Africa, kwenye top 10 ya Nchi zinazo zalisha Almasi ni Urusi na Canada peke yake ndio hazitoki Africa. So kila Almasi 10 8 zikitoka Africa na 2 zikitoka Canada na URUSI ina Africa haina Madini na Urusi na Canada zinazo?

Maana hapa naona unaleta tu ubishani wa kitoto.
 
Usipotoshe ili tu kushinda ubishi. Huo ndiyo utoto. Russia na Canada zinazalisha zaidi ya 50% ya almasi duniani.
 
Kila siku utasikia mabeberu wanatuibia malighafi! Bara letu tajiri sana! Africa kuna malighafi gani na utajiri gani wa maana?
Duniani kwa sasa kuna rasilimali kubwa 3 tu ambazo zinategemewa sana duniani, yaani muhimu kama ilivyo mahitaji mahitaji matatu ya binadamu (maji,chakula na malazi).

Rasilimali hizo ni GOD .

1. G - stands for GOLD (Dhahabu)

2. O - stands for OIL (mafuta) &

3. D -stands for DIAMOND (Almasi).

Hizo namba 1 na 3 zinapatikana zaidi Africa kuliko sehemu yeyote duniani.

Namba 3 inapatikana zaidi ASIA hasa middle east kuliko sehemu yeyote duniani.

Sasa sababu kubwa kwanini Africa inagombaniwa sana duniani, jibu kubwa ni madini ya thamani tu, hakuna sababu nyingine ya kuzidi hiyo.

Karibu aina zote za madini duniani zinapatikana Africa, na DRC ndiyo inaongoza kwa karibu kila aina ya madini hayo.

Kuna sababu zingine, lakini haziwezi kuzidi madini, mfano upatikanaji wa arable land kwa ajili ya kilimo, Africa ina arable land kubwa kuliko sehemu nyingine yeyote duniani.
 
Gold ni ya thamani sana kweli. Lakini wazalishaji wakubwa utawakuta China, Australia, na nchi nyinginezo. Kwenye Top Ten nchi za Africa utazikuta Ghana na SA, nazo za mwishoni huko. Hata reserve ya gold Africa inayo chache. Almasi wazalishaji wakubwa ni Russia na Canada. Hao wawili wanazalisha kuliko bara lote la Africa. Mafuta ndiyo kama hatuna kabisa. Pia almasi siwezi kusema ni rasilimali kubwa. Siyo madini critical.
 
Kila siku utasikia mabeberu wanatuibia malighafi! Bara letu tajiri sana! Africa kuna malighafi gani na utajiri gani wa maana?
Africa ndiyo inailisha dunia

Huoni africa sahv sana sana bongo imekuwa gombania goli

Ova
 
Back
Top Bottom