baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Kuzalisha sio reserve, unaweza uka zalisha kikubwa ila ukawa kwenye Ardhi yako una Madini machache.Usipotoshe ili tu kushinda ubishi. Huo ndiyo utoto. Russia na Canada zinazalisha zaidi ya 50% ya almasi duniani.
Wazungu hawaji kuchukua Rasilimali sababu tuna zalisha sana bali wanakuja sababu kuna Madini mengi kwenye Ardhi na hayajazalishwa.
Congo peke yake ina Karati milioni 700 za Almasi kwenye Ardhi yake ushahidi toka UN wenyewe
Botswana ana Carat si chini ya Milioni 280,
Nchi pekee ambayo ina Reserve Kubwa kama Congo ni Urusi, that's it, Canada sasa hivi hata data za Reserve hamna tena na production ina decline unless wagundue maeneo mapya.
Wakati Africa Ukitoa Congo na Botswana bado kuna South Africa, Sierra Leone, Angola na nchi nyengine kibao.