Bara lipi linaongoza kwa kuwa na madikteta wengi kwa sasa?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,645
Reaction score
10,867
Enzi za Nyerere, kwa mujibu wa moja ya hotuba zake, madikteta wengi walikuwa barani Afrika.

Hali ikoje kwa sasa?

ANGALIZO: Ibrahimu Traore si dikteta bali mpigania maslahi ya watu wake.

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…