Barabara hii, mbele maji nyuma maji.

zomba

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2007
Posts
17,240
Reaction score
3,930
Wana mahaba wa JF nifumbulieni hilo fumbo. Nilikuwa nasikiliza mziki sasa hivi kuna nyimbo ina mahadhi ya pwani pwani, halafu kuna kipande hiki "barabara hii jamani, mbele maji nyuma maji". Ana maanisha huyu mswahili?
 
mwanamke mjamzito halali kifudifudi..
 
Mhhh, inawezekana anamaanisha yupo njia panda kufanya maamuzi magumu! :eyebrows:
 
Anamaanisha 'kumeza chungu' na 'kutema uchungu'.
 
mwenye hzo kitu atakuwa kilema hata nyuma kuna maji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…