Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana mahaba wa JF nifumbulieni hilo fumbo. Nilikuwa nasikiliza mziki sasa hivi kuna nyimbo ina mahadhi ya pwani pwani, halafu kuna kipande hiki "barabara hii jamani, mbele maji nyuma maji". Ana maanisha huyu mswahili?
Kabakabana mie staki uchokozi, sasa huo mkono huko wa nini?