Hero
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 3,932
- 2,839
Pamoja na uzuri wa barabara ilivyojengwa, hivi karibuni mkandarasi alisimika mabango yenye tahadhari za usalama barabarani hasa sehemu hatarishi.
Mabango hayo siyo TU yaliongeza ubora wa barabara bali ilikuwa msaada sana kwa watumiaji barabara hasa nyakati za usiku.
Cha kushangaza sana zimetolewa karibu zote na kusababisha kuhatarisha maisha na mali za watumia barabara hii! Huu uhuni haukubariki kabisa.
Niiombe mamlaka husika ifuatilie hii barabara hasa Toka Ipole-Inyonga-Mpanda kabla haijaleta maafa🙏!
Nawasilisha!