Yametolewa lini mbona wiki jana tu nimetumia njia hiyo karibu kila sehemu inayotakiwa kuwa na alama ipo?ila pamependeza sana!!hasa kuanzia hapi sikonge sio mchezo!!Pamoja na uzuri wa barabara ilivyojengwa, hivi karibuni mkandalasi alisimika mabango yenye tahadhari za usalama barabarani hasa sehemu hatarishi! Mabango hayo so TU yaliongeza ubora wa barabara Bali ilikuwa msaada sana kwa watumiaji barabara hasa nyakati za usiku! Cha kushangaza sana zimetolewa karibu zote na kusababisha kuhatarisha maisha na Mali za watumia barabara hii! Huu uhuni haukubariki kabisaa! Niiombe mamlaka husika ifuatilie hii barabara hasa Toka Ipole-Inyonga-Mpanda kabla haijaleta maafa🙏!
Nawasilisha!
Nafikiri yametolewa jumatano usiku ya wiki iliyopita! Ukipita Sasa hivi unakuta nguzo TU hazina mabango...na ikiachwa hivi hata hizo nguzo zitang'olewa! Yaani kwa uzuri wa barabara hii na madereva wanavyojiachia bila hayo mabango wakakua wanaishia maporini kuwa supu ya Simba!Yametolewa lini mbona wiki jana tu nimetumia njia hiyo karibu kila sehemu inayotakiwa kuwa na alama ipo?ila pamependeza sana!!hasa kuanzia hapi sikonge sio mchezo!!
Hahaha,,,, eti supu ya simbaNafikiri yametolewa jumatano usiku ya wiki iliyopita! Ukipita Sasa hivi unakuta ngozo TU hazina mabango...na ikiachwa hivi hata hizo nguzo zitang'olewa! Yaani kwa uzuri wa barabara hii na madereva wanavyojiachia bila hayo mabango wakakua wanaishia maporini kuwa supu ya Simba!
Sasa ukae ukijua kuwa week ni siku saba na wizi unaweza kufanyika ndani ya few seconds.Yametolewa lini mbona wiki jana tu nimetumia njia hiyo karibu kila sehemu inayotakiwa kuwa na alama ipo?ila pamependeza sana!!hasa kuanzia hapi sikonge sio mchezo!!
Hahahaa!!ila naona hata wanyama wakali siku hizi hawapo karibu hapo!!baada ya mto koga pale kuna bango la tahadhari ya wanyama wakali, lakini nimepita pale saa kumi alfajiri namuona jamaa yupo na ng'ombe zake kama 5 hivi, anakatiza barabara!!daaa na kama mchana watu na baiskeli na pikipiki tu!!Nafikiri yametolewa jumatano usiku ya wiki iliyopita! Ukipita Sasa hivi unakuta ngozo TU hazina mabango...na ikiachwa hivi hata hizo nguzo zitang'olewa! Yaani kwa uzuri wa barabara hii na madereva wanavyojiachia bila hayo mabango wakakua wanaishia maporini kuwa supu ya Simba!
Watzn unawajua au unawaskia? Washakata wameenda kuuza vyuma chakavu .Pamoja na uzuri wa barabara ilivyojengwa, hivi karibuni mkandarasi alisimika mabango yenye tahadhari za usalama barabarani hasa sehemu hatarishi.
Mabango hayo siyo TU yaliongeza ubora wa barabara bali ilikuwa msaada sana kwa watumiaji barabara hasa nyakati za usiku.
Cha kushangaza sana zimetolewa karibu zote na kusababisha kuhatarisha maisha na mali za watumia barabara hii! Huu uhuni haukubariki kabisa.
Niiombe mamlaka husika ifuatilie hii barabara hasa Toka Ipole-Inyonga-Mpanda kabla haijaleta maafa🙏!
Nawasilisha!
Shida gani? Iko hatua za umaliziaji.Hivi hiyo barabara inatarajia kukamilika lini? maana ni shida...............
Afu ww ujichanganye kujipitisha uone kama hata utamaliza 1km kabla hujawa kitoweo!!!Hahahaa!!ila naona hata wanyama wakali siku hizi hawapo karibu hapo!!baada ya mto koga pale kuna bango la tahadhari ya wanyama wakali, lakini nimepita pale saa kumi alfajiri namuona jamaa yupo na ng'ombe zake kama 5 hivi, anakatiza barabara!!daaa na kama mchana watu na baiskeli na pikipiki tu!!