Barabara Isiyo na Jina (Unknown Road)

Barabara Isiyo na Jina (Unknown Road)

Mlenge

R I P
Joined
Oct 31, 2006
Posts
2,125
Reaction score
2,306
Barabara Isiyo na Jina (Unknown Road)

Ukiangalia ramani kwenye Uber au Bolt; Google Maps au OpenStreetMaps: Baadhi ya barabara hazina majina. Ungepewa jukumu la kuzipa majina, ni yapi ungeyatumia ili kila barabara na mtaa viwe na jina?
 
Kimpatacho Mamba na kenge pia kitamhusu road.
Mkuju hebu niambie umefikiria nn hadi ukatoa hili jibu? Jibu lako linamaanisha nini/lina uhusiano gani na swali?

No offence mkuu nimecheka sana hili jibu lako kutokana na aina ya swali lililoulizwa ikabidi nidadisi zaidi kutaka kufahamu ulichotaka kumaanisha.😀
 
Back
Top Bottom