Ni kweli, unaponitumia fata kanuni zake, la tumia lugha ya taifa.Kingreza kilikuja na meli π π
Mkuju hebu niambie umefikiria nn hadi ukatoa hili jibu? Jibu lako linamaanisha nini/lina uhusiano gani na swali?Kimpatacho Mamba na kenge pia kitamhusu road.