Barabara kutoka Mombasa hadi Nigeria itakayopitia mataifa sita

How will you 'chop'? Whatever that means. Huu mradi hauhusu Tz wala barabara yenyewe haipiti karibu na Tz, inaanza Mombasa hadi Lagos.
Just like Uganda pipeline n SGR to Rwanda n Uganda! As it stands Tanzania's connection to Rwanda n Uganda r in best shape! And that is to say to all connection to Tanga and Dar ports!
 
Lagos-Mombasa_Highway_map.PNG
Acha kupanick kwasababu umesikia jina la Kenya likitajwa, lengo la barabara hii ni kuunganisha Afrika Magharibi na Afrika Mashariki. Kupitia njia moja au nyingine Tz itakuwa imeunganishwa pia. Mzee, miaka inaendelea kukupa kisogo bana, wivu na majungu achia vijana, wa kike.

u see, as opposed said Tanzania will chop!
From the map Dar/Tanga-Dodoma-Bujumbura-Bukavu-Kisangani-Lagos will be shorter route than Mombasa-Kampala-Kisangani-Lagos. Keep making noises like Uganda pipeline, u probably haven't learned!
 
Barabara ni Kama mishipa ya damu mwilini itatuhusu Kwani tuna ingiliana na Congo, Uganda, Kenya, Rwanda n.k
Kweli kabisa, niliyemnukuu ni mwenzako ambaye akilini mwake anawaza tu Magufuli atakavyo hujumu mradi huu ili usifaidi Kenya. Badala ya kuwaza kuhusu ni vipi ambavyo Tz itafaidika pia.
 
u see, as opposed said Tanzania will chop!
From the map Dar/Tanga-Dodoma-Bujumbura-Bukavu-Kisangani-Lagos will be shorter route than Mombasa-Kampala-Kisangani-Lagos. Keep making noises like Uganda pipeline, u probably haven't learned!
Kwahivyo ndio mtaibuka na barabara nyingine mbadala ili hii barabara isipite Kenya? Aisee, hizi akili za kuchimbia mihogo hizi!
 
Actually ipo! Few modifications can do! Unless u think only Kenya has a pass to link with Lagos! It's called business opportunity!
 
Back
Top Bottom