Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,501
- 1,047
Ugali na chapati ni vyakula mhimu Sana Kenya/Tanzania, best places to be .Nilikutana na Professor Femi alifanya kazi UN Nairobi miaka mingi. Aliniambia ugali na chapati vilimshinda kabisa. Alikuwa anakwenda Nigeria au anaagiza unga wa yam.
Hivi wewe una miaka mingapi Sky Eclat ?Nilikutana na Professor Femi alifanya kazi UN Nairobi miaka mingi. Aliniambia ugali na chapati vilimshinda kabisa. Alikuwa anakwenda Nigeria au anaagiza unga wa yam.
Project ya Trans-African Highway sio ya Kenya , mradi ulikuwa ni wa U.N.(UNECA) miaka ya 70's. Upande wa Nigeria, Cameroun, Uganda na Kenya umeshakamilika, bado C.A.R. na D.R.C. Wewe endelea kulialia tu.
How will you 'chop'? Whatever that means. Huu mradi hauhusu Tz wala barabara yenyewe haipiti karibu na Tz, inaanza Mombasa hadi Lagos.With JPM in power, we will chop on this project!
Nilikuwa nimeguess kwamba una 16, damn, very close! ๐
Not far from the truth ๐Nilikuwa nimeguess kwamba una 16, damn, very close! ๐
Sisi tunaogopa kukatiza viwanja vya antbaraka๐๐๐ndughuri msuya uzi huu haujataja TZ sijui mbona povu?
Barabara ni Kama mishipa ya damu mwilini itatuhusu Kwani tuna ingiliana na Congo, Uganda, Kenya, Rwanda n.kHow will you 'chop'? Whatever that means. Huu mradi hauhusu Tz wala barabara yenyewe haipiti karibu na Tz, inaanza Mombasa hadi Lagos.
Just like Uganda pipeline n SGR to Rwanda n Uganda! As it stands Tanzania's connection to Rwanda n Uganda r in best shape! And that is to say to all connection to Tanga and Dar ports!How will you 'chop'? Whatever that means. Huu mradi hauhusu Tz wala barabara yenyewe haipiti karibu na Tz, inaanza Mombasa hadi Lagos.
Labda 18 x 2.๐๐๐
Havenโt you met a matured 18 yrs old?Labda 18 x 2.๐๐๐
You don't sound 18 at all hahaha. You sound more mature.
Just like Uganda pipeline n SGR to Rwanda n Uganda! As it stands Tanzania's connection to Rwanda n Uganda r in best shape! And that is to say to all connection to Tanga and Dar ports!
u see, as opposed said Tanzania will chop!Acha kupanick kwasababu umesikia jina la Kenya likitajwa, lengo la barabara hii ni kuunganisha Afrika Magharibi na Afrika Mashariki. Kupitia njia moja au nyingine Tz itakuwa imeunganishwa pia. Mzee, miaka inaendelea kukupa kisogo bana, wivu na majungu achia vijana, wa kike.
Kweli kabisa, niliyemnukuu ni mwenzako ambaye akilini mwake anawaza tu Magufuli atakavyo hujumu mradi huu ili usifaidi Kenya. Badala ya kuwaza kuhusu ni vipi ambavyo Tz itafaidika pia.Barabara ni Kama mishipa ya damu mwilini itatuhusu Kwani tuna ingiliana na Congo, Uganda, Kenya, Rwanda n.k
There is a level of maturity which nobody can be at 18. Some people though claim to be older yet act more immaturely than 18-year-olds.Havenโt you met a matured 18 yrs old?
Kwahivyo ndio mtaibuka na barabara nyingine mbadala ili hii barabara isipite Kenya? Aisee, hizi akili za kuchimbia mihogo hizi!u see, as opposed said Tanzania will chop!
From the map Dar/Tanga-Dodoma-Bujumbura-Bukavu-Kisangani-Lagos will be shorter route than Mombasa-Kampala-Kisangani-Lagos. Keep making noises like Uganda pipeline, u probably haven't learned!
Actually ipo! Few modifications can do! Unless u think only Kenya has a pass to link with Lagos! It's called business opportunity!Kwahivyo ndio mtaibuka na barabara nyingine mbadala ili hii barabara isipite Kenya? Aisee, hizi akili za kuchimbia mihogo hizi!