lugendo_einstein
Member
- Jul 13, 2024
- 5
- 3
Nitoe wito kwa mamlaka zinazohusika kushugulikia uharibifu uliofanywa na mvua katika Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma, barabara ya kutokea Pasua kuelekea Mahembe iliyosombwa na maji, imesababisha changamoto kwa Watumiaji wa barabara hiyo.
Licha ya kuwa barabara hiyo inatumiwa na magari ya Halmashauri yamekuwa yakipita hapo bila kujali athari inayoongezeka siku baada ya siku hasa kwa Wananchi wanaotegemea barabara hiyo kuweza kusafirisha mizigo yao.