Mnakimbilia kukopa mahela kutoka China bila kujuwa historia yao. China ni nchi ya chama kimoja CCP. Huwezi kuwa kiongozi wa serikali kama sio mwanachama wa CCP. Huyo balozi ni mwanachana na mwakilishi wa CCP Tanzania, CCP na CCM ni ndugu moja, balozi amesimama kama mwana CCP, sawa eh.... Haya darasa la leo linaishia hapa.Halafu unadanganya eti mlimchukulia hatua, Dk. Lu Youqing bado yupo na waliolalamika ni Chadema, nyie wengine mliishia kutetea huo ujinga wa kujikombakomba kwa Wachina hadi mnawavalisha mavazi ya chama.
Mnakimbilia kukopa mahela kutoka China bila kujuwa historia yao. China ni nchi ya chama kimoja CCP. Huwezi kuwa kiongozi wa serikali kama sio mwanachama wa CCP. Huyo balozi ni mwanachana na mwakilishi wa CCP Tanzania, CCP na CCM ni ndugu moja, balozi amesimama kama mwana CCP, sawa eh.... Haya darasa la leo linaishia hapa.
Hehehe!! Huwa nacheka sana kila mkitumia hilo neno la 'undugu', yaani nyie watu huwa rahisi kuliwa mpaka mifupa. Mumeishia kuwa nchi maskini sana dunia hii ilhali mna kila kitu kwa sababu ya huo uchizi wa kukenua meno na kuita kila mtu 'ndugu'.
Ni kweli, neno undugu halipo kwenye kamusi ya kabila lolote la Kenya, ndio maana Kenya imekatika vipande vipande halafu mnatafuta mchawi.
'undugu' na biashara haziendani, mtaendelea kuliwa mpaka mtapikwe, ila kidogo rais wenu wa sasa naona huo upuzi wa undugu ametupa kuleeee na ameweka maslahi ya taifa kwanza.
'Undugu' tunafanya wakati wa mikutano ya kijamii na kunywa na kula lakini likija suala la biashara lazima kununiana.
'undugu' na biashara haziendani, mtaendelea kuliwa mpaka mtapikwe, ila kidogo rais wenu wa sasa naona huo upuzi wa undugu ametupa kuleeee na ameweka maslahi ya taifa kwanza.
'Undugu' tunafanya wakati wa mikutano ya kijamii na kunywa na kula lakini likija suala la biashara lazima kununiana.
Mbona hata kwetu haya yapo! Uhuruto tena!Rais anenda kuzindua mradi wa kitaifa huku amevaa nguo za chama?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Haya ni maajabu ya Kenya
Hebu soma vizuri historia. Wakati mko busy kuhakikisha Tanzania inaanguka na kuamua kuivunja jumuiya ya Afrika Mashariki, Tanzania ilibaki na marafiki wachache sana ikiwemo China.Nayo maajabu ya Tanzania huwa mnajikombakomba kwa wageni hadi kuwavalisha mavazi ya chama cha CCM
Magufuli aongeze kidogo uso wa mbuzi yani hapa bado kabisa mimi naona. Bado ana bebeleza aongeze kabisa kukaza buti, mimi nakubaliana na hoja yako ya kuliwa, ukitaka maendeleo hakuhitaji mtu akupende wewe piga bulldozer tu mpaka mission ifikiwe, yani uso wa mbuzi 24/7