Yaani kuna mambo yanahekesha sana kama sio kuudhi..
Maada ilikua uzinduzi wa barabara,
Ghafla watu wanadiscuss mavazi,
Chamsing WTZ wapongezenei kenya,hiyo ni hatua muhimu kibiashara na kiuchumi,
sasa ww mtz na wivu wako unaona mavazi tu,
Nukufundisha MTZ,mwambie hivi,hongereni wakenya kwa hatua hiyo
Na ww mkenya usiwe kama mtoto,ww ni mtu mzima kuna mambo yaache yatajisema yenyewe sio kila jambo unarusha hewani,kumbuka ww ndio unaongoza kiuchumi hapa east africa,kama unaona unakimbizwa kimbia kweli na sio kugeuka nyuma na kuanza kufight na anaekukimbiza,
chamsingi ungetwambia hiyo barabara utafaidika nayo vipi?
Maana kuna nnchi zinajenge miradi ambayo haina faida kwa TAIFA,
kuna nnchi mmoja ilijenga uwanja wa ndege kwa mabilioni ya dola leo hii wanafanya kama sehem ya kuhifadhia mifugo kwa ajili ya mnada,
sasa na ww twambia unafaidi vipi na hiyo barabara.