Barabara muhumi ya LAPSET ya kwenda Ethiopia yazinduliwa rasmi

Barabara muhumi ya LAPSET ya kwenda Ethiopia yazinduliwa rasmi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Ifahamike Ethiopia ndio ya pili Afrika kwa idadi ya watu, mradi wenyewe umefanyika kwa awamu tatu, zikiwemo 121km Merille River-Marsabit, 121km Marsabit-Turbi na 121km Turbi-Moyale.

Awali ilikua inachukua siku tatu kutoka Isiolo kuja Nairobi, sasa imepunguzwa na kuwa chini ya masaa 12. Ikumbukwe pia uwanja wa kimataifa wa Isiolo tayari umezinduliwa, yaani patakua patamu.

1604839.jpg

14956660_1126189047502009_6920463675636369902_n.jpg

29312547786_e5f4e9a336.jpg
29312548196_56f78ba6c5_b.jpg

President Uhuru Kenyatta yesterday commissioned the Sh42 billion Isiolo-Moyale road which connects Kenya to Ethiopia, the second most populous country in Africa.

The Isiolo-Moyale highway is a key plank of the Lamu Port-South Sudan-Ethiopia- Transport corridor project. The road project was implemented in three phases: 121km Merille River-Marsabit, 121km Marsabit-Turbi and 121km Turbi-Moyale.

Addressing residents in Moyale town, Uhuru said the commissioning of the new road and the Isiolo International Airport last Sunday will promote cross-border trade and lift the lives of Kenyans.

“There will no longer be challenges of travelling and even accessing markets for our goods and services. With this road and the Isiolo international airport, Kenyans are sure of improving their economy,” he said.

“As you have heard, it used to take three days to travel from here to Isiolo and Nairobi, now it takes only hours.”

The President, who was accompanied by DP William Ruto, said the Jubilee is also implementing the Lamu port project, which will be completed next year.
He said once complete, the government will launch the construction of Lamu-Garissa-Isiolo road, which will open up the second transport corridor in Kenya. “With the opening up of this road, Moyale will become a market centre for Kenyan goods and services. Our brothers from Ethiopia will be coming here to purchase goods from us,” Uhuru said.

“Once all these projects are complete, Moyale residents will not be waking up saying they are going to Kenya. Rather they will enjoy all services like other Kenyan citizens.”

Coupled with the planned resort city of Isiolo as well as the Isiolo International Airport, the Isiolo-Moyale road will significantly boost security and tourism in Northern Kenya.

The new road is also set to open up the Northern tourism belt to increase activities in Mt Kenya, Samburu, Meru, the Aberdares and Marsabit National parks, as well as the wildlife conservancies within the region.

Uhuru said he is seeking a second ter so that Jubilee can entrench the transformational development trend the country has embarked on. He urged Kenyans to vote for Jubilee to prevent the opposition from derailing the foundation for economic growth and shared prosperity that his administration has laid in the last four-and-a-half years.

“We have expanded electricity connections more than 10 times what was there previously. We have offered free maternity services to all mothers delivering in public hospitals and next year we will expand NHIF services,” he said.
Sh42bn Isiolo-Moyale road will boost lives, Uhuru okays project
 
Rais anenda kuzindua mradi wa kitaifa huku amevaa nguo za chama?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Haya ni maajabu ya Kenya
 
si unajua kuna uchaguzi siku za karibuni mkuu.
Hilo ni suala la kitaifa sio la kijubilee, hata kama uchaguzi ungekuwa sekunde chache kutoka wakati anazindua, alitakiwa kuvaa kama rais sio kama mgombea urais.
 
Nayo maajabu ya Tanzania huwa mnajikombakomba kwa wageni hadi kuwavalisha mavazi ya chama cha CCM
gz10.jpg
Huo ni ujinga wa huyo mchina na alirudishwa kwao kesho yake!

Sasa tuone hapa mbumbumbu ni nani, kati ya rais wenu asiyejua avae nini akiwa kwenye matukio ya kitaifa au mchina asiyejua avae nini akiwa nchi za watu!

Obviously rais wenu ni mbumbumbu zaidi! Ndo maana hata nyie raia wake mnalinganisha mambo anayofanya rais na mambo anayofanya mrugaruga wa kichina[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huyo hapo Kinana mlimchukulia hatua gani kwa kuwatia aibu nyie.
 
Nayo maajabu ya Tanzania huwa mnajikombakomba kwa wageni hadi kuwavalisha mavazi ya chama cha CCM
gz10.jpg
Unauhakika ni mgeni au unaongea tu, Kwa taarifa yako sisi hakuna ukabila, urangi... Huku kwetu ni kazi tu.

SIJUI KESHO.
 
Unauhakika ni mgeni au unaongea tu, Kwa taarifa yako sisi hakuna ukabila, urangi... Huku kwetu ni kazi tu.

SIJUI KESHO.

Haya bwana basi huyo balozi wa China ni mzawa wa Tanzania.
 
Huyo hapo Kinana mlimchukulia hatua gani kwa kuwatia aibu nyie.
Kinana ni kiongozi wa chama hivyo alikuwa anafanya shughuli za chama sio za taifa! Wanaotakiwa kumchukulia hatua (kama alikosea ni chama chake) sio nchi! Nakushauri umwulize H. Pole pole msemaji wa ccm atakujibu!

Kama taifa tulimchukulia sheria mchina kwa kukiuka masharti ya nchi! Huo ndio wajibu wetu na tuliutekeleza in a blink of an aye!
 
Halafu unadanganya eti mlimchukulia hatua, Dk. Lu Youqing bado yupo na waliolalamika ni Chadema, nyie wengine mliishia kutetea huo ujinga wa kujikombakomba kwa Wachina hadi mnawavalisha mavazi ya chama.
 
Hyo ilikuwa 2012 mda mfupi baada ya uteuzi wake, alirudishwa china lakini serikali ya china iliomba aendelee na wakaomba radhi kwa suala hilo!

Kwa kuwa hakuna shida na wachina, serikali iliridhia ombi lao akaendelea!

By the way! Naona hapa leo tunalinganisha nani kati ya rais na balozi anajua protocol!

Haya na nyie mmemfanyia nini rais wenu kuwadhalilisha namna hiyo?

Anazindua barabara inayounganisha nchi tatu huku amevaa mavazi ya chama

Halafu unachekesha kweli, eti waliolalamika ni chadema, Hao chadema ni wakenya au watanzania? Hivi unajua kweli kazi za vyama vya upinzani? Ulitaka wanyamaze kwenye haya mambo ili waseme mambo gani kwa mfano!
 
Waliolalamika ni wapinzani lakini nyie serikali mliona yote sawa tu.
 
Waliolalamika ni wapinzani lakini nyie serikali mliona yote sawa tu.
Nimekuuliza hao wapinzani ni wakenya au watanzania? Na kama ni watanzania hujui walikuwa wanatekeleza wajibu wao?

Sasa nyie hapo kwenu mbona hata wapinzani hawasemi kuhusu rais wenu kufanya shughuli za kiserikali huku kavaa nguo za vyama!

Tena anazindua barabara iayounganisha nchi tatu
 
Back
Top Bottom