Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
KITETO KUNUFAIKA NA MRADI WA UJENZI WA BARABARA SABA ZA LAMI
Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mhe. Edward Ole Lekaita, akitoa neno kwa niaba ya wananchi wa Jimbo la Kiteto kwenye Hafla ya Utiaji Saini wa Mikataba ya Ujenzi wa Barabara Saba.
Barabara Saba zitakazojengwa Kiteto ni pamoja na Kongwa - Kiteto; Kiteto - Simanjiro - Arusha; Handeni - Kijungu - Kibaya; Kiteto - Njoro - Kiperesa - Chemba - Singida. Hafla inayofanyika mda huu katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Conversation Jijini Dodoma.
UTIAJI SAINI MIKATABA SABA YA UJENZI WA BARABARA JIMBO LA KITETO
Hafla ya utiaji saini wa mikataba ya ujenzi wa Barabara saba zikiwemo Kongwa - Kiteto - Arusha - Handeni - Kiteto - Singida