Hii barabara imeharibika vibaya, kuna madaraja yamekatika, maji yameondoa udongo njiani. Sasa, hakuna gari linaloweza kupita. Urefu wake ni kama 20 km
Nafikiri mbunge wa Mkuranga Mh Ulega analijua au vipi.
Hii njia sana ni muhimu kuungnisha Kimbiji/Pembamnazi, tuseme ni njia fupi hata ukitoka Mbagala kwenda huko. Pia njia mbadala kw watu wanaobeba mizigo Toka viwanda vilivyo Kigamboni kupunguza magari kwenye njia ya Kilwa.
Kuna mazao mbalimbali yanalimwa huko; mihogo, bamia, mapera, mpunga, na mboga za majani. Na mazao mengine y mifugo kama kuku ng'ombe
Mvua imeharibu kabisa hata tukiweka picha haisaidii kwa sababu ni karibu barabara nzima haifai, hata boda boda wanalazimisha kwa kuwa hawana njia mbadala ya kujikimu