Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 3,482
- 4,673
Wakuu naona ofis ya mkuu wa mkoa Dar es Salaam au Wilaya ya kinondoni imelala, pale mbele mbuyuni kama unaenda tegeta upande wakushoto karibu na kambi ya J.k.t barabara ya bgamoyo road had kufika mwakani itakuwa imekufa yote au kukatika.
Wale wanaochimba mawe wanaikaribia kuikata barabara,, mkuu wa mkoa wai haraka na timu yako, maana wa chini yako wanapewa ela wanashindwa kuchukua hatua.
Ukitoka afrikana kama unaenda tegeta kuna kituo kinafuata kinaitwa mbuyuni,
Ukitoka pale mbuyuni hatua chache upande wa kushoto kuna maroli yamepaki mabovu na kuna kigorofa uchwara, kwa nyuma yake ndio kuna machimbo ya kifusi na mawe, aisee washaikaribia barabara ni hatari kabisa, viongozi wa s/mtaa na diwani na Dc wanajua,ila ni kama vile kuna kitu wananufaika nacho, kinachofanyika pale ni uhujumu uchumi wa miundombinu.