Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Barabara ya Bariadi - Itilima ambayo ilielezewa na Mwanachama wa JamiiForums.com kuwa ni kero kwa Watumiaji, akaomba Mamlaka zinazohusika ziboreshe kwa kuwa shughuli nyingi za Kiuchumi na Kijamii zinasuasua kutokana na hali hiyo, sasa imeanza kufanyia matengenezo.
Kuona hali ilivyokuwa awali ~ Barabara Bariadi kwenda Itilima ni hatari, wananchi tunateseka, TANROADS - Simiyu hamuioni?
Barabara hiyo iliyopo Wilayani Bariadi kwenda Wilayani Itilima ilikuwa inaendelea kuharibika kwa kujaa mashimo kuanzia Bariadi hadi Itilima ambapo Wananchi walilazimika kusafiri kwa Saa Mbili wakati ni mwendo wa Dakika 30 kwa gari.
Kwa sasa maboresho yanaendelea ya barabara hiyo.