Barabara ya Buhongwa - Sahwa - Kishiri - Igoma imetelekezwa

kakoyo092

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2013
Posts
721
Reaction score
890
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri

Kiukweli inaskikitisha kuonana barabara muhimu kama hii ya kuķtoka buhongwa mpk igoma ikiwa imetelekezwa. Mbunge wetu wa nyamagana nae yupo kimya tu. Barabara ina mahandaki hatari sehemu ya kwenda kwa dakika 5 unatumia nusa saa wanateseka wa mama wajawazito na wagonjwa.

Aliyekaribu na decision makers huku atusaidia kufikIsha ujumbe asanteni.
 
Tupo busy na Mataa ya ghorofa la Dubai kuwaka benders ya Tanzania Kwa dk 3
 
hili walisema tayari wameshatangaza tenda au ni janja janja.. upana wake mara mita 50 mara 30 nayo ni kizungumkuti
 
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri

Kiukweli inaskikitisha kuonana barabara muhimu kama hii ya kuķtoka buhongwa mpk igoma ikiwa imetelekezwa. Mbunge wetu wa nyamagana nae yupo kimya tu. Barabara ina mahandaki hatari sehemu ya kwenda kwa dakika 5 unatumia nusa saa wanateseka wa mama wajawazito na wagonjwa.

Aliyekaribu na decision makers huku atusaidia kufikIsha ujumbe asanteni.
Nahisi kila kitu kiko tayari mwezi huu atatangazwa mjenzi lakini bado kuna migogoro midogo kuhusu fidia kwa baadhi ya maeneo, tuvute subira
 
Back
Top Bottom