Barabara ya Dar - Arusha kuna Hoteli nzuri za kisasa maeneo ya Korogwe

Barabara ya Dar - Arusha kuna Hoteli nzuri za kisasa maeneo ya Korogwe

road master

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2020
Posts
2,064
Reaction score
3,021
Nitoe hongera kwa uwekezaji wa hotel /motel zilizopo Korogwe zinazohudumia Wasafiri wa kutoka Dar-Arusha.

Kiukweli japo bei ya vyakula ni juu kiasi ila nimeupenda huu uwekezaji, nashauri na maeneo mengine waige uwekezaji huu mzuri.
 
Ukisafiri na barabara ya kuelekea Kigoma, Bukoba au Mwanza maeneo ya kula si rafiki kabisa.
 
Back
Top Bottom