Barabara ya Goba mpakani, hii sio hujuma?

Ni kweli ilisemekana ingewekwa lami kuanzia mwezi wa 4 ila mpaka sasa hamna kitu. Hivi sijui huyo mbunge wa Kibamba kazi yake ni nini huko bungeni..?
Wakati wamesema badala ya mwezi wa nne ingejengwa mwezi wa sita nikamwambia jamaa mmoja kwamba za ndaaani kabisa mzigo umepigwa ndo maana danadana zinakua nyingi. Jamaa alinibishia lkn alivyoona wa sita umepita mara mwez wa 8, nao umepita saiz ameniamini. Pale mtakula vumbi mpaka mfanane na barabara yenyewe.
 
Hii barabara hadi Sasa tumechanga zaidi ya milioni 16 wananchi wa goba kwa kauli ya “Task force team barabara Goba” na tarura wanasema wameanza ni wezi hawa
Tarura wilaya ya ubungo ni kimeo,mkuu wa wilaya anawaangalia tu!
 
Wakati wamesema badala ya mwezi wa nne ingejengwa mwezi wa sita nikamwambia jamaa mmoja kwamba za ndaaani kabisa mzigo umepigwa ndo maana danadana zinakua nyingi. Jamaa alinibishia lkn alivyoona wa sita umepita mara mwez wa 8, nao umepita saiz ameniamini. Pale mtakula vumbi mpaka mfanane na barabara yenyewe.
Dah! jamaa huwa aish bongo sana au?
 
Back
Top Bottom