DOKEZO Barabara ya Kigoma-Kibondo-Busunzu hali ni tete

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Ghost MVP

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2022
Posts
439
Reaction score
736
Kutokana na mvua zinanyesha barabara ya kigoma-kibondo-busunzu imemomonyoka na inekuwa usumbufu na hatarishi kwa watumiaji wa barabara hiyo.

Mamlaka irekebishe barabara hii ili huduma iendelee kwa watumiaji.




=========

UFAFANUZI WA TANROADS
Meneja wa TANROADS Mkoa wa Kigoma, Mhandisi Narcis Choma amesema: “Tulitoa ufafanuzi wa hilo eneo, ikaundwa timu ya kufanya uchunguzi na tayari imekamilisha kazi na kukabidhi kwa Waziri, hivyo tunasubiri Wizara ipitie na kutoa hiyo ripoti.

Pia soma - TANROADS Yatoa Ufafanuzi Kuharibika kwa Barabara ya Kigoma
 
Mkoa umelaaniwa kwasababu ya Mwijaku na Baba levo. Tukiendelea kuwachekea hawa national disgrace laana itasambaa mikoa yote. Haya majitu yadhibitiwe aibu tunaona sisi wanaume.
 
Hiyo hata Mkandarasi hajatoka site. Ni balaa. Mvua imemtia adhabu. Ila ni heri ili arekebishe kabla hajaondoka site.
 
Serikali ya wapiga Dili hii hapo mkandarasi kashapiga pesa kaacha balaaa
 
Duh! Inamaana badala ya Daraja walijenga kavukavu?
 
Hiyo hata Mkandarasi hajatoka site. Ni balaa. Mvua imemtia adhabu. Ila ni heri ili arekebishe kabla hajaondoka site.
Muwe mnafanya utafiti kidogo kabla ya kuropoka. Mmejee negativities mno. Ungetulia kidogo ungegundua sbb si mvua wala ubovu wa mkandarasi. Ni kutitia kwa ardhi, jambo ambalo ni natural calamity. Imetokea Kenya, Japan na China pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…