Street brain
JF-Expert Member
- Oct 24, 2022
- 584
- 767
Wazee wanasema "barabara yakuelekea kwenye mafanikio siku zote ipo kwenye ukarabati". Daima kazana kujitahidi kutimiza malengo yako, isifikie mahali nakujiona sasa nimefika, siku zote tupo kwenye mapambano.
Unaweza kutumia njia ikakufikisha kwenye malengo lakini kumbuka utakutana na binadamu au changamoto zitakazo bomoa njia.
Kama mvua na kiangazi kinavyoweza kuharibu barabara za kawaida. Uwe mbunifu daima kama njia yakulinda mafanikio yako. ©️ Pocco.
Eti ni kweli mdomo unaoongea sanaa ni rahisi kumuumiza rafiki?🤔 Unayemdharau unaweza kukuta anakula nyama kila siku😝🏃🏾♂️🏃🏾♂️😝